Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TREK4MANDELA WATEMBELEA SHULE YA SEOKONDARI DARAJANI ILIYOPO MARANGU

Timu ya watu 39 Wakiwemo wakurugenzi wa Taasisi na wakurugenzi kampuni mbalimbali za nchini Afrika Kusini walipotembelea shule ya sekondari ya Mazoezi Darajani iliyopo Marangu wilaya ya Moshi.
Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari ya Mazoezi Darajani iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro wakiwa darasani.Wananfunzi katika shule ya sekondari Darajani wakiwa katika mkusanyiko tayari kupokea wageni waliotembelea shule hiyo.Mhifadhi katika Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro,KINAPA ,Charles...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KARIBU KATIKA SHULE YA AWALI YA KIDS PLANET ILIYOPO ENEO LA JKT MBWENI

Muonekano wa madarasa ya shule hiyo. v  Shule inatoa elimu bora katika  mazingira mazuri ya kusomea
v  Na inao walimu wakutosha  wazuri wenye taaluma ya kufundisha watoto wadogo na wenye upendo  na kazi yao
v  Shule ina maktaba iliyosheheni vitabu vya kila aina na kompyuta
v  Na upande wa malazi inayo mabweni mazuri yenye vyumba vizuri kwa watoto na huduma… ...

 

11 years ago

Michuzi

Shule ya Msingi Neville iliyopo Mbokomu, Moshi Vijijini yafadhiliwa madarasa mapya

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Neville iliyopo Mbokomu, Moshi Vijijini, wakipozi mbele ya moja ya madarasa mapya. Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Ofisa Elimu wa Wilaya ya Moshi, Simon Sheshe na ilihudhuriwa na wabunge, Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Susan Lyimo na Mbunge Lucy Owenya Zawadi za khanga kwa Wafadhili kutoka Ufaransa wakiwa na  Bibi Sarah Temba-Marchand na mumewe Bw. Gabriel Marchand ambao kwa pamoja wanaongoza Chama cha Elimu kwa Kilimanjaro huko...

 

11 years ago

Michuzi

MBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI SHULE YA SEKONDARI PAKULA ILIYOPO JIMBO LA VUNJO.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mh James Mbatia akiongozana na makamu mwenyekiti wa shule ya sekondari Pakula Julius Furaha(Suti ya Blue) baada ya kupokelewa kwa ajili ya mahafali na harambee ya ujenzi wa Bweni.Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia .
Makamu mwenyekiti wa Bodi ya shule ya sekondari Pakula,Paroko Julius Furaha akizungumza wakati wa mahafali hayo.Mkuu wa shule ya sekondari Pakula Lolenzo John akimkabidhi Mh,Mbatia zawadi ya Mbuzi dume...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA NANE YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA SEKONDARI REBU ILIYOPO TARIME YAFANA

Wahitimu wa Kidato cha Nne Rebu Sekondari 2015Wahitimu wa Kidato cha Nne Rebu Sekondari 2015.Mgeni Rasmi katika Mahafali ya nane ya Kidato cha nne katika shule ya Sekondari Rebu iliyopo Wilayani Tarime George Obuto ambae ni Afisa Elimu Sekondari katika Wilaya hiyo akizungumza katika Mahafali hayo.Mgeni Rasmi akikabidhi cheti kwa mhitimuMhitimu akipokea cheti. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAASWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KATIKA SHULE YA SEKONDARI IMPERIAL ILIYOPO CHALIZE MSOLWA MKOANI PWANI

Wanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakielekea kupandisha bendera ya Taifa wakati wakisherekea mwaka mmoja wa shule hiyo iliyopo Chalinze Msolwa mkoani Pwani.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakiwa  ndani ya darasa la Komputa.wanafunzai wa shule ya Sekondari Imperial wakifanya majaribio ya masomo ya Sayansi ambayo ni Fizikia pamoja na Kemia katika chumba hicho cha majaribio ya masomo hayo shuleni hapo leo.Mkuu wa Shule na Mkurugenzi Mtendaji wa shule...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAASWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KATIKA SHULE YA SEKONDARI IMPERIAL ILIYOPO CHALINZE MSOLWA, MKOANI PWANI

Wanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakielekea kupandisha bendera ya Taifa wakati wakisherekea mwaka mmoja wa shule hiyo iliyopo Chalinze Msolwa mkoani Pwani.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakiwa  ndani ya darasa la Komputa
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakijibu maswali ya kuhusiana na komputa katika darasa hilo.Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Imperial, Ivonne Mnyitafu akitoa ufafanuzi kwa wazazi pamoja na walimu wa shule hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA NIC ARUSHA YAWAKUMBUKA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WA SHULE MAALUM YA DYMPHNA ILIYOPO SAKINA KWA IDD

 Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa  wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa bibi Mary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo sakina kwa idd mara baaada ya kuwasili shuleni hapo.
 Watoto wa shule maalum ya Dymphna wakiwasikiliza wageni ambao ni wafanyakazi wa benki ya NIC  Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC, na BENKI YA NIC wakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KATIKA SHULE YA MSINGI YA MATUMAINI YA JESHI LA WOKOVU ILIYOPO KURASINI

Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina akiongea na vyombo vya habari juu ya mipango ya Mfuko huo kutoa misaada kwa jamii hasa kwa wale wenye mahitaji kama walemavu wa ngozi (Albino) Mtoto Maria Mwingira akipokea msaada wa mafuta maalum ambayo hukinga ngozi yao wakati wa jua kali kutoka kwa Meneja Masoko wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina.Kijana Salum Iddi akitoa neno la shukurani kwa Mfuko wa GEPF kwa niaba ya watoto wenzake huku akisikilzwa kwa makini na Meneja Masoko wa GEPF,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani