Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wa shule ya Christon Boys iliyopo Chanika jijini Dar watembelea Clouds FM

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TREK4MANDELA WATEMBELEA SHULE YA SEOKONDARI DARAJANI ILIYOPO MARANGU

Timu ya watu 39 Wakiwemo wakurugenzi wa Taasisi na wakurugenzi kampuni mbalimbali za nchini Afrika Kusini walipotembelea shule ya sekondari ya Mazoezi Darajani iliyopo Marangu wilaya ya Moshi.
Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari ya Mazoezi Darajani iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro wakiwa darasani.Wananfunzi katika shule ya sekondari Darajani wakiwa katika mkusanyiko tayari kupokea wageni waliotembelea shule hiyo.Mhifadhi katika Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro,KINAPA ,Charles...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MANZESE WATEMBELEA GLOBAL

Mhariri Mtendaji Richard Manyota (kulia) wa Global Publishers akifafanua jambo mbele ya wanafunzi hao. Wanafunzi hao wakitunza kumbukumbu za maelezo muhimu.…

 

9 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI AZANIA YA JIJINI DAR-ES-SALAAM WAJIFUNZA MBINU ZA KUZIMA MOTO

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala.

 Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala jana tarehe 15 Oct, 15.

‘’Tayari...

 

9 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wajifunza mbinu za kuzima moto

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala.

 Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala jana tarehe 15 Oct, 15.

‘’Tayari...

 

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya Farida Foundation yawawezesha wanafunzi wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Tabata jijini Dar

Mwenyekiti wa Taasisi ya Farida Foundation,Bi. Farida Abdul Sekimonyo (wa pili kulia) akikabidhi sehemu ya vitabu kwa mmoja wa Mwanafunzi mwenye mtindio wa Ubongo wanaosoma Shule ya Msingi Tabata jijini Dar.Farida Foundation imetoa vifaa mbali mbali vya kusomea kwa watoto hao wenye mtindio wa Ubongo waliopo kwenye Shule hiyo.Taasisi hiyo ya Farida Foundation imekuwa ikisaidia Walemavu wa aina zote watoto, vijana na watu wazima waliopo Tanzania nzima mpaka sasa imeshasaidia walemavu zaidi...

 

9 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI WA GREEN VIEW ENGLISH MEDIUM YA JIJINI MWANZA WAFURAHIA MICHEZO ILIYOPO MAMIZ GRAND RESORT

Hakika ilikuwa ni Furasa isiyo na Kifani kwa Wanafunzi wa Awali kutoka Shule ya Msingi Green View English Medium ya Jijini Mwanza baada ya kufika katika mandhari iliyopo ndani ya Mamiz Grand Resort Mkolani Jijini Mwanza kwa ajili ya ziara yao ya Kimasomo (Study Tour) siku ya juzi Octoba 16,2015.
Na:George Binagi-GB PazzoWanafunzi hao walifurahia michezo ya aina mbalimbali inayopatikana Mamiz Grand Resort kama ambavyo Kamera ya BMG (Binagi Media Group) ilivyonasa matukio ya hapa na pale....

 

10 years ago

Michuzi

SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR

 Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw.Raymond Mapunda akitoa matokeo ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari jijini Dar es salaam ambapo katika mtihani huo uliofanyika Mei 25 hadi Juni 12 mwaka huu shule Binafsi zimeongoza kwa ufaulu.
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO  ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za  Sekondari za jiji la Dare es  salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu  za ufaulu kwa wanafunzi...

 

11 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro watembelea bunge dodoma

Kundi la kwanza la Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mbunge wao wa Rombo Joseph Selasini (mstari wa nyuma katikati). Kundi la pili la Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mbunge wao wa Rombo Joseph Selasini (mstari wa nyuma katikati).  Mbunge wa  Chama cha Wananchi CUF Mhe.Hamad Rashid akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI DARASA LA SABA SHULE YA ADOLPH KOPING BUKOBA WATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA.

Wanafunzi wa Darasa la Saba (Adolph Kolping English Medium Primary School) wametembelea kiwanda cha Kagera Sugar kilichopo Bukoba na kujionea utengenezaji wa Sukari ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao. Kiwanda cha Sukari cha Kagera tayari kilishaanza kuzalisha ziada ya sukari inayohitajika katika soko la sukari Nchini hali inayopelekea kuweza kupunguza tatizo la upatikanaji wa sukari Tanzania na Nchi za jirani zinazotumia sukari kutoka kiwandani hapo.Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera kiko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani