WANAFUNZI WA GREEN VIEW ENGLISH MEDIUM YA JIJINI MWANZA WAFURAHIA MICHEZO ILIYOPO MAMIZ GRAND RESORT
Hakika ilikuwa ni Furasa isiyo na Kifani kwa Wanafunzi wa Awali kutoka Shule ya Msingi Green View English Medium ya Jijini Mwanza baada ya kufika katika mandhari iliyopo ndani ya Mamiz Grand Resort Mkolani Jijini Mwanza kwa ajili ya ziara yao ya Kimasomo (Study Tour) siku ya juzi Octoba 16,2015.
Na:George Binagi-GB PazzoWanafunzi hao walifurahia michezo ya aina mbalimbali inayopatikana Mamiz Grand Resort kama ambavyo Kamera ya BMG (Binagi Media Group) ilivyonasa matukio ya hapa na pale....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWANAFUNZI WA GREEN VIEW WAFURAHIA MICHEZO ILIYOPO MAMIZI GRAND RESORT
9 years ago
MichuziNYERERE DAY MAMBO YOTE NI NDANI YA KIOTA CHA BURUDANI JIJINI MWANZA MAMIZ GRAND RESORT.
9 years ago
MichuziMAMIZ GRAND RESORT INAKULETEA MIAKA 18 YA FM ACADEMIA WAZEE WA NGWASUMA NA NGOMA ZAO MPYA
9 years ago
VijimamboNYERERE DAY ILIVYOBAMBA NDANI YA KIOTA CHA BURUDANI MAMIZ GATE WAY JIJINI MWANZA
Katika kuwajali wakazi wa Jiji la Mwanza, Mamiz Grand Resort pamoja na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani ziliwakutanisha watanzania pamoja na kuketi kwa ajili ya kutafakari siku hiyo.Kulikuwa na Live Band kutoka kwao Wasamalia Band. Kutana nao ndani ya Mamiz Gate Way kila Jumatano na Ijumaa, Pia kila...
10 years ago
TheCitizen22 Mar
Let English be medium of instruction
10 years ago
MichuziMAAFISA, ASKARI NA WATUMISHI RAIA WA JESHI LA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA JINSIA, ROMBO GREEN VIEW HOTEL - JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboMAAFISA, ASKARI NA WATUMISHI RAIA WA JESHI LA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA JINSIA, ROMBO GREEN VIEW HOTEL - JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
TheCitizen29 Mar
LANGUAGE:Let English be medium of instruction - 2
10 years ago
The Swazi Observer18 Feb
Tanzania dumps English language as medium of instruction
Tanzania dumps English language as medium of instruction
The Swazi Observer
The newly-launched education system has abolished national examinations for primary school leavers and extended basic education to four years at secondary level—meaning students will sit their final examination after 11 years in primary and secondary ...
Tanzania Ditches English In Education Overhaul PlanAFKInsider
all 2