TRUMP ANAKUNYWA DAWA YA CORONA ISIYOTHIBISHWA
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESRais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba anakunywa dawa ya hydroxychloroquine kujikinga dhidi ya virusi vya corona hata ingawa maafisa wa afya wametoa onyo juu ya usalama wa dawa hiyo.Akizungumza katika Ikulu ya White House, aliwaambia wanahabari kwamba ameanza kunywa dawa hizo zinazotibu ugonjwa wa malaria na hivi karibuni imetumika kutibu ugonjwa wa ngozi."Nimekuwa nikiinywa kwa karibia wiki moja na nusu sasa na niko hapa, bado niko hapa," hilo lilikuwa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 May
Virusi vya Corona: Trump anakunywa dawa ya hydroxychloroquine kinyume cha maelekezo
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Kwanini rais Trump ana imani na dawa ya Hydrochloroquine 'kutibu' virusi vya corona?
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Uhamiaji wa nchini Marekani kusitishwa kutokana na janga la corona, asema Trump
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_TC1iDkUOLk/XtFLb--XwZI/AAAAAAALsA8/T9EEsUiZEa0e1LY9gFB_DVP2sm3ORSFlQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200529-WA0082.jpg)
MTAFITI WA DAWA ZA MITISHAMBA AIOMBA SERIKALI KUICHUNGUZA DAWA YAKE YA CORONA ALIYOIGUNDUA.
Mtafiti wa Dawa za asili aliyejulikana kwa jina la Rose Roberty (changa Muja) ameiomba Serikali kumsaidia kupima dawa aliyogundua na kuifanyia majaribio kuona kama inatibu ugonjwa wa Corona (Covid-19)
Akiongea na waandishi wa habari leo nyumbani kwake,Rose alieleza kuwa ameweza kugundua dawa ambayo inaweza ikatibu ugonjwa huu ambao unaotikisa dunia ,na anaimani kabisa dawa hiyo itaweza kuponya ugonjwa huo.
Alisema dawa hiyo inatokana na mchanganyiko wa miti shamba...
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Je dawa za malaria zinaweza kutibu corona pia
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Virusi vya Corona: Dawa ya kutibu malaria ya hydroxychloroquine sio tiba ya corona
5 years ago
BBCSwahili19 May
Virusi vya corona: Je kuna ushahidi kuwa dawa za malaria zinatibu corona?
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
Virusi vya corona: Marekani yasitisha matumizi ya dawa ya hydroxychloroquine kutibu corona
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?