Trump ashutumiwa kwa kupanga kufurusha wahamiaji
Donald Trump ameshutumiwa vikali kwenye mdahalo wa wagombea wa chama cha Republican kutokana na mpango wake wa kuwafurusha wahamiaji 11 milioni kutoka Marekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
George Floyd: Trump ashutumiwa kugawanya Wamarekani huku maafisa wanaouhishwa na kifo cha Floyd wakishtakiwa tena
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani James Mattis amemshutumu Rais Donald Trump, kwa kuleta mgawanyiko na kutumia vibaya mamlaka yake.
10 years ago
BBCSwahili06 May
Pacquiao ashutumiwa kwa udanganyifu
Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ameshutumiwa kwa udanganyifu wa kuumia bega kabla ya pambano na Floyd Mayweather
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDAhVfKyas2KwbWHRfrBaopZgI0kLrmzwcqSYeAeeyohcFXypJyWjMxNZIQq*5h3og8DUS5L2fHYDDd5Jj4YHGIo/image.aspx.jpg?width=650)
YEMI ALADE ASHUTUMIWA KUJICHUBUA KWA MKOGORO
Mwanamuziki wa Nigeria, Yemi Alade. Lagos, Nigeria IMEKUWA mtindo kwa mastaa weusi kujichubua ngozi zao na kuzifanya nyeupe. Mmoja wa wanamuziki wa Nigeria, Yemi Alade, amejikuta akisakamwa na shabiki mmoja kwa kutumia mkorogo. Yemi Alade. Alipotuma katika mtandao wa Twitter picha mbili za mwanamuziki huyo aliyevuma kwa wimbo wake wa ‘Johnny’ – picha moja ikimwonyesha alipoanza kujikita katika muziki...
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Waziri mkuu wa Iraq aahidi kufurusha IS
Waziri mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amesema wapiganaji wanaojiita Islamic State (IS) watafurushwa kutoka kwa maeneo yote nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili08 Dec
3 wakamatwa kwa kupanga mechi Uingereza
Watu 3 wanazuiliwa na polisi nchini Uingereza baada ya aliyekuwa mchezaji wa Portsmouth Sam Sodje kufichua kuwa alihusika katika kupanga mechi za ligi
9 years ago
VijimamboWATU WAMESHAANZA KUPANGA FOLENI TAYARI KWA KUTAKA KUPIGA KURA
Kituo cha Magomeni mapipa kata ya Suna wananchi wamisha anza kujipanga ili wapige kula kumchagua kiongozi wanaeamini kuwa anaweza kuwaongoza na kuwaletea maendeleo.
Msimamizi wa kituo cha upigaji kura akielekeza wananchi wapi wajipange ili wapige kura zao kwa utaratibu uliopangwa.
Habari ndiyo hii
Mwananchi akitafakari kura yake aipeleke wapi
Mmoja wa wasimamizi wa kituo cha kupigia kura kata ya Suna Magomeni mapipa hii ni live bila chenga.
5 years ago
BBCSwahili20 May
Virusi vya corona: Kwa nini watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama Ukraine?
Watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama nchini Ukraine kutokana na masharti ya kutotoka nje kukabiliana na virusi vya corona.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-is_AtRAdld0/VPQhQSQ5BHI/AAAAAAAACD8/oUfBcib_Koc/s72-c/00291460-4e9694611e29a3e22a35b3924757b48d-arc614x376-w614-us1.jpg)
Muimbaji Maarufu Rwanda Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama Kumuua Rais Kagame.
![](http://1.bp.blogspot.com/-is_AtRAdld0/VPQhQSQ5BHI/AAAAAAAACD8/oUfBcib_Koc/s640/00291460-4e9694611e29a3e22a35b3924757b48d-arc614x376-w614-us1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-CwPhPjmqGpQ/VPQhIv6w8uI/AAAAAAAACDo/o9MyJVrPz6w/s640/kizito2.jpg)
10 years ago
Bongo502 Mar
Mwanamuziki maarufu wa Rwanda afungwa miaka 10 jela kwa kupanga njama dhidi ya Rais Kagame
Mahakama ya Rwanda Ijumaa iliyopita ilimhukumu mwanamuziki maarufu wa nchini humo, Kizito Mihigo kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kupanga njama dhidi ya serikali ya Rais Paul Kagame. Kizito Mihigo Mihigo alipatikana na hatia ya kuanzisha kundi la kihalifu na njama ya kutekeleza mauaji japo jaji alitupilia mbali makosa ya kuhusika kwenye vitendo […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania