Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pacquiao ashutumiwa kwa udanganyifu

Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ameshutumiwa kwa udanganyifu wa kuumia bega kabla ya pambano na Floyd Mayweather

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Pacquiao kuadhibiwa kwa udanganyifu

LAS VEGAS, MAREKANI

BONDIA Manny Pacquiao anaweza kufungiwa au kupigwa faini na viongozi wa Kamisheni ya Ngumi Nevada kwa kushindwa kuweka wazi majeraha ya bega kabla ya pambano lake dhidi ya Floyd Mayweather Jr.

Alfajiri ya Jumapili Mfilipino huyo alipigwa na Mayweather kwa pointi kwenye pambano la karne lililofanyika Las Vegas, lakini baadaye Pacquiao alisingizia alipata maumivu ya bega mazoezini yaliyomfanya kushindwa kutumia vema mkono wake wa kushoto.

Mwenyekiti wa Kamisheni hiyo,...

 

10 years ago

GPL

YEMI ALADE ASHUTUMIWA KUJICHUBUA KWA MKOGORO

Mwanamuziki wa Nigeria, Yemi Alade. Lagos, Nigeria IMEKUWA mtindo kwa mastaa weusi kujichubua ngozi zao na kuzifanya nyeupe.  Mmoja wa wanamuziki wa Nigeria, Yemi Alade, amejikuta akisakamwa na shabiki mmoja kwa kutumia mkorogo. Yemi Alade. Alipotuma katika mtandao wa Twitter picha mbili za mwanamuziki huyo aliyevuma kwa wimbo wake wa ‘Johnny’ – picha moja ikimwonyesha alipoanza kujikita katika muziki...

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump ashutumiwa kwa kupanga kufurusha wahamiaji

Donald Trump ameshutumiwa vikali kwenye mdahalo wa wagombea wa chama cha Republican kutokana na mpango wake wa kuwafurusha wahamiaji 11 milioni kutoka Marekani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katibu CCM jela kwa udanganyifu

KATIBU wa Itikadi Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kyerwa, Ferdinand Bishanga (38), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia mali kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwekahazina, Mkurugenzi kizimbani kwa udanganyifu

MWEKAHAZINA wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, James Jiorojik na Mkurugenzi wa kampuni ya uwakala wa kukusanya ushuru ya (DIEMM) Boniface Magessa wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watuhumiwa kujipatia mil. 128 kwa udanganyifu waachiwa huru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watu wawili waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kujipatia sh milioni 128.3 kwa njia ya udanganyifu pamoja na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa simu....

 

10 years ago

Michuzi

Yale yaleee....: Wakati Tanzania tunalia kwa udanganyifu wa umri wa Miss Tanzania,Wenzetu Uganda wanalia kwa Sura mbaya wa Mrembo wao

Tasnia ya Urembo inazidi kuchukua sura mpya siku hadi siku,kwa masiku kadhaa hapa Nyumbani tumekuwa tukilalamikia udanganyifu wa Umri wa Mrembo wa Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu kwamba umri wake wa halali haukustahili kumfanya awe Malkia wa taji hilo na hivyo anapaswa kuvuliwa taji hilo,lakini imekuwa ni tofauti kwa ndugu zetu wa nchi ya Uganda kwani wao kilio chao ni kwamba Mrembo alietwaa taji la Miss Uganda 2014,Leah Kalanguka ni mbaya na hana mvuto na hivyo hawezi kuiwakilisha vyema...

 

10 years ago

GPL

FLOYD MAYWEATHER AMCHAPA MANNY PACQUIAO KWA POINTI

Floyd Mayweather akipozi na mikanda yake baada ya kumchapa Manny Pacquiao kwa pointi. Mabondia hao wakitupiana masumbwi wakati wa mpambano huo. BONDIA wa Marekani, Floyd Mayweather amemchapa mpinzani wake raia wa Ufilipino, Manny Pacquiao kwa pointi katika mpambano wao wa karne uliopigwa Ukumbi wa GMG Grand jijini Las Vegas leo…

 

10 years ago

Vijimambo

FLOYD MAYWEATHER AMSHINDA MANNY PACQUIAO KWA POINT

Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao FightMashabiki wa ngumi wakiwemo watu maarufu wakiingia MGM Grand Garden Arena lushuhudia mpambano wa ngumi uliokua umeiteka mitandao na Luninga za Dunia takribani miezi 3.Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao FightFloyd Mayweather Jr. akitupa konde la kushoto kwa Manny Pacquiaokwenye mpambano wao wa welterweight uliofanyika May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden uliopo Las Vegas, NevadaFloyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao FightFloyd Mayweather Jr. akitupa konde la kushoto kwa Manny Pacquiao kwenye mpambano wao wa welterweight uliofanyika May pili, 2015 katika ukumbi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani