Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TSJ WAPEWA ZAWADI ZA VIFAA VYA HABARI

Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha TSJ, Blandina Semaganga(kushoto), Sweetbeth Bruno wa The Sanitarium Kliniki (katikati) pamoja na Dr. Fadhil Emily. Wanachuo wa TSJ wakifurahia msaada huo. Mwanachuo wa TSJ, Florida Moses akitumbuiza katika hafla hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE NA TCAA

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Ally CHangwila akimkabidhi msaada wa Madaftari na vyakula mbalimbali Samson Ali (12) ambaye ni mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu ambao hivi sasa wanalelewa katika Kituo cha Child In The Sun kilichopo Manzese Dar es Salaam kituo hicho kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki.watoto hao wanapatikana kwa kukusanywa mitaani. Mwalimu wa Kituo cha Kulea watoto waishio katika mazingira Magumu cha Child In The Sun kilichopo...

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 CAROLINE CHELELE, AKABIDHIWA RASMI ZAWADI ZA VIFAA VYA KILIMO

Mshindi  wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015, Linaloendeshwa na Shirika la Oxfam kupitia program yake ya Grow msimu wa nne Caroline Chelele amekabidhiwa zawadi ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya kiasi cha shilingi Millioni 20, nyumbani kwake kata ya Ifakara mkoani Morogoro.
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo ya zawadi  Mkoani Morogoro wilayani  Kilombero kata ya Ifakara,Meneja Ushawishi na Utetezi kutoka Shirika la Oxfam,Eluka Kibona alisema zawadi hiyo ni moja ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wahariri wa vyombo vya habari wapewa semina ya kuelimisha utunzaji wa Mazingira Jijini Dar Es Salaam

 

Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi wa Sita.

 

Mwendesha mada wakati wa Mkutano wa Wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari juu ya masuala ya mazingira Bi. Singlunda akitoa maelezo na mwongozo wa mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa.

 

Mmoja ya Wataalam wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira...

 

11 years ago

Michuzi

WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAPEWA SEMINA YA KUELIMISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA MAY 7-2014 JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari May 7, 2014 jiji Dar es Salaam. juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi wa Sita.  Mwendesha mada  Bi. Singlunda, akielezea machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu.  Mdau wa habari akichangia mada.   Mdau wa habari...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mama Shujaa wa Chakula 2015 Caroline Chelele, akabidhiwa rasmi zawadi za vifaa vya kilimo zenye thamani ya Tsh Mil.20 Ifakara

Mshindi wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula Msimu wa nne Bi. Caroline Chelele aliyekaa kwenye Pawatila akifurahia zawadi zake, Muda mfupi baada ya kukabidhiwa.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombelo Bw. Yahya Naiya (wa pili kushoto) aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kilombelo akikata utepe kuashiria tukio la kumkabidhi zawadi rasmi mama shujaa wa chakula msimu wa nne 2015 Bi. Caroline Chelele, wa kwanza kushoto ni Mercy Minja Kaimu mkurugenzi wa wa mji wa Ifakara, wa tatu kutoka kulia ni...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo apokea zawadi toka Kamati ya vibali vya filamu.

Mjumbe wa Kamati ya vibali vya Filamu Bw. Andrew Makungu akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo sasa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga zawadi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Nyuma Mwenye Tai ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisoo. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akionesha...

 

9 years ago

GPL

TYGA, KYLIE WAPEWA ZAWADI YA MBWA WA DOLA 50,000

Staa wa muziki wa kufoka Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner. New York, Marekani
UHUSIANO ya staa wa muziki wa kufoka Tyga, 25, na Kylie Jenner, 18, umezidi kukolea baada ya wapendanao hao kuongezewa rafiki mwingine ambaye ni mbwa waliyepewa kama zawadi na Jeremy Greene, ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya PingTank, ambayo inajihusisha na mitandao ya kijamii. Wawili hao wamempa mbwa huyo jina la Rolly, wamekuwa wakizunguka...

 

10 years ago

GPL

WASOMAJI GAZETI LA UWAZI MIZENGWE DAR WAPEWA ZAWADI

Mr. Uwazi sambamba na Ofisa Masoko wa Global, Aziza Seif akijiandaa kumpatia zawadi msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe. Meneja Mkuu wa Global Publishers sambamba na Mr. Uwazi akiongea na muuzaji wa magazeti eneo la Kituo cha Stendi ya Daladala cha Lufungira-Mwenge.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani