Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TTCL yakabidhi mabenchi kituo cha afya Buguruni

KAMPUNI ya Simu ya Tanzania (TTCL), imekabidhi msaada wa mabenchi katika kituo cha afya cha Buguruni kwa Mnyamani jijini Dar es Salaam ukiwa na thamani ya sh milioni 1.7. Akikabidhi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TTCL YAKABIDHI MSAADA WA MABENCHI MKATIKA KITUO CHA AFYA BUGURUNI

Mganga mfawidhi katika kituo cha afya Buguruni,Dk. Mwajuma Mbaga (kushoto) akipokea msaada wa mabechi ya kukalia wagonjwa wakati wakisubiri huduma kutoka kwa Kaimu Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Tanzania (TTCL),Bw. Edwin Mashasi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano,iliyofanyika leo Novemba 19,2014. Mganga mfawidhi katika kituo cha afya Buguruni,Dkt. Mwajuma Mbaga akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wauguzi wa kituo hicho.Kulia waliokaa ni Kaimu...

 

9 years ago

Michuzi

Kampuni ya TTCL Yakisaidia Vifaa Tiba Kituo cha Afya Buguruni Dar

Meneja Uhusiano wa kampuni ya TTCL, Nicodemus Thomas (wa pili kulia) akimkabidhi sehemu ya vifaa tiba Ofisa Muuguzi Mkuu wa Kituo cha Afya cha Buguruni, Alvera Mtembelea (wa tatu kushoto) vilivyotolewa na kampuni ya TTCL leo kwa Kituo cha Afya Buguruni cha jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga akishuhudia zoezi hilo.Meneja Uhusiano wa kampuni ya TTCL, Nicodemus Thomas (kulia) akimkabidhi moja ya mashine ikiwa ni sehemu ya vifaa tiba Ofisa Muuguzi...

 

10 years ago

Michuzi

WLF YAKABIDHI NYUMBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 156 KWA AJILI YA WATUMISHI WA AFYA KATIKA KITUO CHA AFYA NGURUKA WILAYANI UVINZA

 .Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto Akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa World Lung Foundation(wa pili kushoto)Dr Nguke Mwakatundu kukata utepe wakati wa Uzinduzi wa Nyumba za Watumishi wa Afya katika kituo cha Afya Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya  akikata utepe Ikiwa ni Ishara ya ufunguzi wa Nyumba zilizo jengwa kwa hisani ya WLF kwa ajili ya watumishi wa Afya katika kituo cha Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani...

 

11 years ago

GPL

KCB YAKABIDHI VIFAA VYA HOSPITALI KITUO CHA AFYA KOMBENI‏

Meneja wa Benki ya KCB, Tawi la Zanzibar, Sahim Abdalla Juma (kulia) akikabidhi vifaa vya Hospitali kwa kituo cha afya cha Kombeni kilichopo wilaya ya Magharibi kwa Daktari wenye dhamana ya wilaya hiyo, Lela Salim Juma, jana.
Meneja wa Benki ya KCB Tawi la Zanzibar, Sahim Abdalla Juma akiongea kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali ya Kituo cha Afya cha Kombeni, kilichopo wilaya ya Magharibi, Zanzibar. Vifaa hivyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ASHTUSHWA NA MAKUSUDI YA WIZARA YA AFYA KUHUSIANA NA KITUO CHA AFYA CHA INYONGA,WILAYA YA MLELE-KATAVI

 Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Inyonga, Dk. Adis Koni akimpatia maelezo Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali kuhusu kucheleweshwa kwa makusudi kituo hicho kukipa hadhi ya kuwa hospitali ya wilaya,ambapo imeelezwa kuwa ucheleweshwaji huo unafanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,kwani maombi walikwishayatuma Wizarani tangu februari mwaka jana. Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa msaada na Mbunge wa Jimbo la Katavi, Waziri Mkuu, Mizengo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal azindua Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti IP POP cha TTCL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa mitambo ya kutunzia kumbukumbu, kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa za Shirika la Simu Tanzania, TTCL, Issaya Ernest, wakati Dkt Bilal, alipotembelea kituo hicho cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, jana.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na...

 

9 years ago

Vijimambo

DK. GHARIB BILAL AZINDUWA KITUO CHA MAWASILIANO YA INTANETI IP POP CHA TTCL


Pichani Juu ni Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (kulia) akizinduwa rasmi kwa niaba ya Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa akishuhudia.
 Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akipata maelezo namna kituo cha...

 

11 years ago

Michuzi

TTCL YASAIDIA KITUO CHA MAMA HURUMA

 Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kulia) akijadiliana swala na Mwenyekiti wa kituo cha watoto cha Mama wa Huruma, Mtawa Berna Mdendemi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  TTCL ilitoa msaada wa mifuko 70 ya sementi kuwezesha kituo hicho kuwa na majengo yake.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kushoto) akiwasalimia watoto wa kituo cha Mama wa Huruma mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  TTCL ilitoa msaada wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani