Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuache kujadili hotuba za JK, Warioba tuboreshe Rasimu

>Wiki ya Machi 18 - 22, 2014, mwenyekiti Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba aliwasilisha Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Bunge la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili hotuba za Rais, Warioba

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa Mjumbe wa Bunge hilo, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuridhia ombi hilo lililotolewa na baadhi ya wajumbe.

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tuboreshe Rasimu iliyopo-Zitto Kabwe

Tuboreshe Rasimu iliyopo

Na Zitto Kabwe, MB

Wiki ya Machi 18 – 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa hotuba kwa Bunge Maalumu. Hotuba zote zimepokelewa kwa hisia tofauti kulingana na msimamo wa kila mtu kuhusu hoja...

 

11 years ago

GPL

TUBORESHE RASIMU ILIYOPO - ZITTO KABWE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Na Zitto Kabwe
Wiki ya Machi 18 - 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa hotuba kwa Bunge Maalumu....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tahliso kujadili rasimu ya Katiba

JUMUIYA ya Wanafunzi wa Vyuo vya Juu nchini (Tahliso) inatarajia kufanya mkutano mwishoni mwa Aprili jijini Dar es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo masuala yahusuyo rasimu ya pili ya Katiba....

 

10 years ago

Mwananchi

Rasimu ya Warioba ‘yachanwachanwa’

Kuna kila dalili kwamba mabadiliko mengi yaliyopendekezwa katika Rasimu ya Katiba yakigusa miundo ya taasisi nyeti za umma yatawekwa kando na huenda Bunge Maalumu likatoa Katiba isiyokuwa na mabadiliko makubwa kama ilivyotarajiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa: Hatutakubali kujadili rasimu nyingine

Bunge Maalumu la Katiba sasa lipo katika hati hati ya kuendelea kutokana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutangaza kuwa hawatakuwa tayari kujadili rasimu tofauti na iliyowasilishwa na Jaji Joseph Warioba bungeni.

 

10 years ago

Habarileo

'Rasimu imezingatia ya Tume ya Warioba'

RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, kwa sehemu kubwa imezingatia Rasimu ya Pili ya Katiba, iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rasimu ya Warioba kuizika Zanzibar?

WAKATI Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba ikikaribia kumaliza kazi yake na kuwasilisha mapendekezo yake mbele ya Bunge Maalumu la  Katiba, wasiwasi umeanza kujitokeza kwa Katiba ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wasira aipinga rasimu ya Warioba

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Steven Wasira ameishutumu rasimu ya katiba ya Tume ya Marekebisho ya Katiba juu ya mfumo wa muungano wa serikali tatu kuwa si maoni ya wananchi ndio maana Chama Cha Mapinduzi kinapinga mfumo huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani