Tahliso kujadili rasimu ya Katiba
JUMUIYA ya Wanafunzi wa Vyuo vya Juu nchini (Tahliso) inatarajia kufanya mkutano mwishoni mwa Aprili jijini Dar es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo masuala yahusuyo rasimu ya pili ya Katiba....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Rasimu ya Pili ya Katiba hakuna cha kujadili
Juzi Rais Jakaya Kikwete alitoa maoni yake kuhusu muundo wa Muungano anaoutaka. Alifanya hivyo wakati alipokuwa akizindua Bunge Maalumu la Mabadiliko ya Katiba mjini Dodoma.
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Jazba iepukwe katika kujadili Rasimu ya Katiba
>Hatimaye Rasimu ya Pili ya Katiba iliwasilishwa bungeni jana baada ya kutokea sintofahamu juzi na kusababisha kusitishwa kwa kikao cha Bunge Maalumu la Katiba pasipo Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuiwasilisha bungeni kama ilivyokuwa imepangwa.
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Ukawa: Hatutakubali kujadili rasimu nyingine
Bunge Maalumu la Katiba sasa lipo katika hati hati ya kuendelea kutokana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutangaza kuwa hawatakuwa tayari kujadili rasimu tofauti na iliyowasilishwa na Jaji Joseph Warioba bungeni.
10 years ago
VijimamboKamati ya Bloggers Tanzania Yaanza Kujadili Rasimu
Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa mitandao ya jamii Tanzania ya kujadili rasimu ya Katiba ya umoja huo Dar es Salaam leo. Majadiliano hayo yameanza jana kujadili rasimu ya katiba kabla ya kuipitisha kwa hatua za usajili wa Chama cha Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers). Kushoto ni Mjumbe wa Kamati hiyo ya muda kutoka...
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Tuache kujadili hotuba za JK, Warioba tuboreshe Rasimu
>Wiki ya Machi 18 - 22, 2014, mwenyekiti Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba aliwasilisha Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Bunge la Katiba.
11 years ago
MichuziJAJI AUGUSTINEO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba mpya ya kipekee, Mjadala ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya The Open Society Initiative For Eastern African Tanzania (OSIEA). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mjadala huo, Profesa Chris Maina, pamoja na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Ayoub Rioba.
Kamishana wa zamani...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow†ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.
10 years ago
MichuziBunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania