TUBORESHE RASIMU ILIYOPO - ZITTO KABWE
![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovDTZ-Xvi*RebZxDq8wENTly9DelFj7FfEYIVzgj*IUHCMEthm8Lk5yr*qM8HUMHD7FdFGTfeufHPf*ekHoi9M4h/Zittokabwe.jpg)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Na Zitto Kabwe Wiki ya Machi 18 - 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa hotuba kwa Bunge Maalumu....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Zitto Kabwe, MB21 Apr
Tuboreshe Rasimu iliyopo-Zitto Kabwe
Tuboreshe Rasimu iliyopo
Na Zitto Kabwe, MB
Wiki ya Machi 18 – 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa hotuba kwa Bunge Maalumu. Hotuba zote zimepokelewa kwa hisia tofauti kulingana na msimamo wa kila mtu kuhusu hoja...
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Tuache kujadili hotuba za JK, Warioba tuboreshe Rasimu
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Bila serikali tatu, rasimu iliyopo nayo inakufa!
KUNA kisa kimoja cha kuchekesha kinachotokana na simulizi za zamani. Palikuwa na mpita njia mmoja alikuwa akitembea kando ya nyumba. Alisikia zogo kati ya mume na mke. Watu hawa wakawa...
10 years ago
IPPmedia12 Mar
I'm still MP, declares Zitto Kabwe
IPPmedia
IPPmedia
Kigoma North MP Zitto Kabwe, who was as of yesterday stripped of party membership by Chadema's Central Committee (CCC) told reporters in Dar es Salaam yesterday that he is also still chairperson of the Public Accounts Committee (PAC). “As you can see ...
Bunge Speaker to determine Zitto's fateDaily News
Zitto Loses Court Battle, Axed From ChademaAllAfrica.com
all 9
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Nakuhurumia Zitto Kabwe
Kwa wasomaji ambao hawakubahatika kuisoma makala hii, basi watambue kuwa iliandikwa na SAMSON MWIGAMBA Desemba 9, 2009. Wakati huo Mwigamba alikuwa na mtazamo huu kuhusu Zitto. Lakini ni Mwigamba huyo...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mama Zitto Kabwe afariki
BUNGE Maalum la Katiba limepata pigo baada ya kuondokewa na mjumbe wake, Shida Salum (64), ambaye ameugua kwa muda mrefu. Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPwBvzyav3SUM3awUicB*lqZpI9qqZ4nZB3A0vjpsnS3ueCM8rYta2-oF9opUTbo1VWAg5494VZRY8fDcNoEA0OX/ZITTOKABWE.jpg?width=650)
MASKINI ZITTO KABWE CHADEMA
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Happy Birthday Zitto Kabwe!
Hey there! Sending birthday wishes your way for a beautiful year ahead. May your lucky stars continue to shine and make all of your dreams come true. Enjoy your day with all of the pleasures it has in store…….HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR FRIEND ZITTO KABWE!
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Lissu amshukia Zitto Kabwe
MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa watu wanaosema kwamba maamuzi ya Kamati Kuu ya chama hicho kuwavua nafasi za uongozi makada wake watatu...