Bila serikali tatu, rasimu iliyopo nayo inakufa!
KUNA kisa kimoja cha kuchekesha kinachotokana na simulizi za zamani. Palikuwa na mpita njia mmoja alikuwa akitembea kando ya nyumba. Alisikia zogo kati ya mume na mke. Watu hawa wakawa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Zitto Kabwe, MB21 Apr
Tuboreshe Rasimu iliyopo-Zitto Kabwe
Tuboreshe Rasimu iliyopo
Na Zitto Kabwe, MB
Wiki ya Machi 18 – 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa hotuba kwa Bunge Maalumu. Hotuba zote zimepokelewa kwa hisia tofauti kulingana na msimamo wa kila mtu kuhusu hoja...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovDTZ-Xvi*RebZxDq8wENTly9DelFj7FfEYIVzgj*IUHCMEthm8Lk5yr*qM8HUMHD7FdFGTfeufHPf*ekHoi9M4h/Zittokabwe.jpg)
TUBORESHE RASIMU ILIYOPO - ZITTO KABWE
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Bunge lachafuka, Warioba asimama bila kuwasilisha Rasimu ya Katiba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DBD4PE5EidVt*M3ju9C8eazW9mZW3xvaZFcv1K7*BDoZufGsAvqEpnA1BeFyYpBotfYV8TPm4u8boVJfXQ*HyfIMMks9EL96/B11.jpg?width=650)
KUPITISHA RASIMU YA KATIBA BILA UKAWA KUNA MADHARA YAKE
9 years ago
Raia Mwema04 Nov
Serikali ya Magufuli inayokuja na shaka iliyopo
ZILIONEKANA kila dalili, kuwa mgombea urais wa CCM, Dk.
Maggid Mjengwa
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Serikali nayo kuongeza tozo Uwanja wa Taifa
9 years ago
Vijimambo22 Sep
UN NA SERIKALI YA TANZANIA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO NCHINI
![IMG_0482](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0482.jpg)
Mgeni rasmi Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (wa pili kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Nyanza jijini Mwanza kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani ambapo kitaifa yamefanyika jijini humo na kuandaliwa na Baraza la Dini mbalimbali la Amani Tanzania...
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
UN na Serikali ya Tanzania kuendelea kudumisha amani iliyopo nchini
Mgeni rasmi Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (wa pili kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Nyanza jijini Mwanza kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani ambapo kitaifa yamefanyika jijini humo na kuandaliwa na Baraza la Dini mbalimbali la Amani...
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Simba SC na mwaka wa tatu bila taji