Tuchukue tahadhali zaidi dhidi ya Ebola
TAARIFA za baadhi ya vyombo vya habari jana kwamba mtu aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya, zimewashitua wananchi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana
Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa ebola nchini Guinea mwezi Machi mwaka huu, watu 2,500 wamefariki dunia kutokana na virusi vyake, zaidi ya nusu ni raia wa Liberia.
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Mapambano dhidi ya Ebola ni hafifu
Viongozi wakuu wa Umoja wa mataifa wameutaka ulimwengu kuwa na subra,na kwamba adui katika mapambano ya Ebola ni muda.
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Ujerumani na mikakati dhidi ya Ebola
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier anasema nguvu kubwa inahitajika kutokomeza Ebola.
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Harakati za Ulaya dhidi ya Ebola
Mawaziri wa mambo ya nje wa muungano wa ulaya wanakutana hii leo kujadili mikakati ya kudhibiti maambukizi ya Ebola .
11 years ago
BBCSwahili03 Jul
Vita dhidi ya homa ya Ebola
Viongozi wa Afrika wanakutana nchini Ghana kujadili mamna ya kukabiliana na ugonjwa huu ambao umezua taharuki Afrika Magharibi
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Chanjo dhidi ya Ebola yatolewa
Wanasayansi kutoka Chuo kikuu cha Oxford wameaza kutoa chanjo dhidi ya Ebola kwa binaadamu kwa mara ya kwanza
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Hatua dhidi ya Ebola kuimarishwa
Kiwango cha maambukizi ya virusi vya Ebola yanaonekana kuwa makubwa kuliko ilivyokadiriwa,vifo vyafikia 1,069.
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Chanjo dhidi ya Ebola ? WHO yafurahia
Shirika la afya duniani WHO, limesifia matokeo ya chanjo mpya ugonjwa wa Ebola, ambayo inatoa asilimia 100% ya kinga
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Ulaya yaungana zaidi dhidi ya Urusi
Nchi za Ulaya zinasema zimeungana katika kuikabili nchi ya Urusi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania