Harakati za Ulaya dhidi ya Ebola
Mawaziri wa mambo ya nje wa muungano wa ulaya wanakutana hii leo kujadili mikakati ya kudhibiti maambukizi ya Ebola .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Soka, vyama vya kifashisti ulaya na harakati za waafrika ...
9 years ago
Vijimambo15 Oct
Tanzania na harakati dhidi ya mauaji ya Albino: Balozi Manongi
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/ny5jqDXwym4n0tpsKGrRaxkzq_npES4_mUSr02A6pnLPb3PgPrWjGj-aIJUnZuOW8bKovk-2jjyQEfvSSwpo0YWUaaPb4OwfaBpz_Ubhe5fx3HdCMsecgVWsSHeZkHqn5cz1Hrk1SLamdV3Bi2-WMtGG3Q=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2015/10/Manongi-22-300x257.jpg)
Balozi Tuvako Manongi, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Idhaa ya Kiswahili/Joseph Msami)
Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya mauaji ya albino nchini Tanzania na kile ambacho kinafanyika kuondokana na vitendo hivyo ambavyo ameviita ni janga. Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa alizungumza na Balozi...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana
10 years ago
Vijimambo28 Jan
NEPAD YASAIDIA HARAKATI ZA KUTAFUTA CHANJO NA TIBA YA EBOLA, PROF. AMBALI
Na Ally Kondo, Addis Ababa
Nchi za Afrika zimehimizwa kuweka mazingira mazuri na wezeshi kwa ajili ya kufanya tiba na chanjo za maribio dhidi ya ugonjwa wa Ebola. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu na Mshauri wa Kituo cha Sayansi,...
10 years ago
MichuziNEPAD YASAIDIA HARAKATI ZA KUTAFUTA CHANJO NA TIBA YA EBOLA - PROF. AMBALI
Na Ally Kondo, Addis AbabaNchi za Afrika zimehimizwa kuweka mazingira mazuri na wezeshi kwa ajili ya kufanya tiba na chanjo za maribio dhidi ya ugonjwa wa Ebola. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu na Mshauri wa Kituo cha Sayansi,...
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Ulaya yaungana zaidi dhidi ya Urusi
10 years ago
Habarileo09 Oct
Ulaya waonywa kusambaa ebola
MSHAURI maarufu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), ameonya kuwa hali ya ongezeko la watoa huduma za afya waliopata maambukizi ya ugonjwa wa ebola inaweza kuongezeka hata katika nchi zilizoendelea.
5 years ago
BBCSwahili26 Apr
Jaribio la kwanza la chanjo dhidi ya virusi vya corona laanza Ulaya
10 years ago
Habarileo17 Oct
Obama ataka Ulaya kudhibiti ebola
RAIS wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa nchi za Ulaya kufanya juhudi kuhakikisha homa ya ebola inadhibitiwa huku Ufaransa ikitangaza kufanya ukaguzi zaidi katika viwanja vya ndege ili kuhakikisha kuwa watu wanaoingia katika ardhi ya Ufaransa wamefanyiwa vipimo.