Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama ataka Ulaya kudhibiti ebola

RAIS wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa nchi za Ulaya kufanya juhudi kuhakikisha homa ya ebola inadhibitiwa huku Ufaransa ikitangaza kufanya ukaguzi zaidi katika viwanja vya ndege ili kuhakikisha kuwa watu wanaoingia katika ardhi ya Ufaransa wamefanyiwa vipimo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Obama kutangaza kudhibiti silaha Marekani

Rais wa Marekani Barack Obama amesema ana matumaini kuwa mpango wake binafsi wa kudhibiti silaha nchini Marekani ni wa kikatiba.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ulaya kudhibiti data mtandaoni

Hatua hiyo inajiri baada ya ufichuzi katika shirika la NSA, na utazizuia data zisipite katika vituo vya data Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulaya kudhibiti zaidi mafua ya ndege

Ulaya inaimarisha hatua zaidi katika kukabiliana na milipuko ya ugonjwa wa mafua ya ndege

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ataka ushirikiano kudhibiti majangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kwa kuwa na eneo kubwa lililotengwa kwa ajili ya wanyama pori, na kutaka ushirikiano kulinda rasilimali hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

WHO kudhibiti Ebola Guinea

Kufikia sasa shirika la afya duniani WHO limethibitisha visa 122 vya homa ya Ebola huko Guinea na vingine saba katika nchi jirani ya Liberia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Liberia yatangaza kudhibiti Ebola

Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ametangaza kwamba ugonjwa wa Ebola umedhibitiwa

 

11 years ago

Habarileo

Vifaa kudhibiti ebola vyawasili

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen KebweVIFAA tiba vinavyotumika kutibu na kujikinga na ugonjwa wa ebola, vilivyoagizwa kutoka Marekani kujikinga na ugonjwa huo hatari, vimewasili nchini mwishoni mwa wiki iliyopita na kuhifadhiwa katika Bohari ya Dawa (MSD).

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Hatuna raslimali za kudhibiti Ebola

Mkuu wa UN anayesimamia kitengo cha kukabiliana na Ebola magharibi mwa Afrika amesema hakuna raslimali za kuuthibiti ugonjwa huo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine

Rais Obama ametangaza mapendekezo ambayo huenda yakatoa suluhu kwa mzozo wa Ukraine, ikiwemo kuwatuma wachunguzi wa kimataifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani