Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soka, vyama vya kifashisti ulaya na harakati za waafrika ...

Mashindano kuwania Kombe la Dunia la Soka yataanza juma lijalo.Timu shiriki zimekuwa zikicheza mechi za kirafiki kujipima, mara nyingi na mataifa ambayo hayatakuwepo ndani ya kichamchela hicho cha FIFA. Wiki iliyopita Ufaransa ilipambana na Norway na Paraguay.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

SAIDI KANDA, MTANZANIA ANAYETHIBITISHA NIDHAMU NA VIPAJI VYETU WAAFRIKA ULAYA

Ilikuwa enzi zile za Ujamaa; enzi bendi za Kizaire zikiwika, enzi za mabasi ‘konokono’ ya UDA (Shirika la Usafiri Dar es Salaam), enzi Mwalimu Nyerere akiogopewa na kuheshimika, enzi bendi nyingi za Watanzania zikitegemea kudra ya mashirika.

 

11 years ago

BBCSwahili

Harakati za Ulaya dhidi ya Ebola

Mawaziri wa mambo ya nje wa muungano wa ulaya wanakutana hii leo kujadili mikakati ya kudhibiti maambukizi ya Ebola .

 

10 years ago

Habarileo

Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen WasiraWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.

 

10 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Covid -19 ilivyobadilisha utamaduni wa waafrika

Mwanahabari Joseph Warungu anaangazia vile virusi vya corona vimebadilisha maisha ya Wakenya kuanzia kujifungua hadi kifo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kwanini Waafrika wanaombwa kushiriki majaribio ya chanjo?

Kumekuwa na taarifa kadhaa za kuogofya kuhusu majaribio ya chanjo ya corona inayofanyiwa watu barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani