Ulaya waonywa kusambaa ebola
MSHAURI maarufu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), ameonya kuwa hali ya ongezeko la watoa huduma za afya waliopata maambukizi ya ugonjwa wa ebola inaweza kuongezeka hata katika nchi zilizoendelea.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
WHO:Laonya kusambaa kwa Ebola Mali
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Hatua zaidi kuzuia kusambaa kwa Ebola
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Harakati za Ulaya dhidi ya Ebola
10 years ago
Habarileo17 Oct
Obama ataka Ulaya kudhibiti ebola
RAIS wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa nchi za Ulaya kufanya juhudi kuhakikisha homa ya ebola inadhibitiwa huku Ufaransa ikitangaza kufanya ukaguzi zaidi katika viwanja vya ndege ili kuhakikisha kuwa watu wanaoingia katika ardhi ya Ufaransa wamefanyiwa vipimo.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Ukawa kusambaa nchi nzima
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Bajeti inakwamisha mawasiliano kusambaa
SERIKALI imesema utekelezaji wa mpango wa kufikisha huduma za mawasiliano nchi nzima unakwamishwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti katika kukidhi gharama za mpango huo. Katika kukabiliana na changamoto...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLfujG8HdXQccp0yWVbgys6yNa*W7zfpiIm81YnEvTOr7aoGoZVOqtzE9wE1nQ*NShrlX3iTVrBt9oNj4Yxxf*u/kansajamani1.jpg?width=650)
DALILI ZA KUSAMBAA KWA KANSA YA TITI
11 years ago
CloudsFM10 Jun
SAKATA LA KUSAMBAA KWA PICHA ZA NGONO MITANDAONI LAIBUKA BUNGENI
SIKU chache baada ya kusambazwa picha za ngono zikiwahusisha baadhi ya wabunge katika mitandao ya kijamii, serikali imesema inawasaka waliozisambaza kwa kuwa ina uwezo wa kuwabaini.
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, alitoa kauli hiyo jana bungeni baada ya Spika Anne Makinda, kumtaka azungumzie picha chafu za baadhi ya wabunge zilizotolewa na kusambazwa kwenye mitandao.
Waziri Mbarawa, alisema serikali inafuatilia na kuchunguza waliosambaza picha hizo...
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Shindano la Serengeti Masta lawasha moto Ulaya Ulaya Bar ya Manzese
Mshereheshaji wa shindano la Serengeti Premium Lager liliopewa jina la “Serengeti Masta” Razani Kapalatu akiwa pamoja na mabalozi wa bia ya Serengeti premium Lager ambao kwa pamoja walitoa maelezo kwa wateja wa bia hiyo waliofika kushiriki katika shindano la kumtafuta Serengeti Masta ndani ya baa ya Ulaya Ulaya iliyopo Manzese jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Shindano hilo limedumu jijini Dar na mikoani kwa takriban muda wa miezi miwili sasa na kuweza kuzifikia baa mbalimbali ambapo...