TUICO: Migogoro ya kazini bado ni mingi
CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na ushauri (TUICO) kimekiri kuwepo kwa migogoro mingi baina ya wafanyakazi na waajiri wao. Hayo yalisemwa jana na wakili wa chama hicho kutoka makao makuu Dar es Salaam, Noel Nchimbi, kwenye mkutano mkuu wa TUICO kwa mkoa wa Shinyanga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Wivu huleta migogoro kazini
WAKATI unapokuwa na mafanikio katika kampuni au eneo la kazi, unaweza kujikuta una marafiki wengi, pamoja na maadui wachache. Hawa maadui mara nyingi wamekuwa wakijaribu kukuangusha au kukufanya ushindwe katika...
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Tuico wadhalilishwa EPZ
11 years ago
TheCitizen26 Mar
Tuico seeks to block Shoprite transfer
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
CRDB, Tuico kuboresha hali za wafanyakazi
BENKI ya CRDB imeingia mkataba na Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda, Huduma na Biashara (Tuico), kuboresha hali za wafanyakazi. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi Mtendaji...
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Tuico yaingilia kati mgomo wa Urafiki
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
TUICO yataja sababu za kususia uchaguzi TUCTA
CHAMA Cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) kimeeleza sababu za kutoshiriki uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA). Akizungumza jana...
9 years ago
VijimamboTUICO YAPATA VIONGOZI WAPYA MKOANI MBEYA
CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri Mkoa wa Mbeya, kimefanikiwa kupata viongozi wapya watakao kiongoza chama hicho katika kipindi cha miaka mitano 2015 hadi 2020.
Uchaguzi umefanyika katika chuo cha...
10 years ago
Daily News04 Sep
TUICO candidate rejected over disputed age criteria
Daily News
TANZANIA Union of Industrial and Commercial Workers (TUICO) has called upon trade unions registrar to intervene in a matter whereby its sole candidate to the post of presidency of Trade Union Congress (TUCTA) was ruled out on age criteria. Mr Gratian ...
10 years ago
MichuziWANACHAMA WA TUICO TAWI LA MUWSA ,WAPATA VIONGOZI WAPYA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI