Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuico wadhalilishwa EPZ

Mgogoro wa malipo kati ya wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Tanzania Took Garment umechukua sura mpya kutokana na uongozi kutotoa ushirikiano kwa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (Tuico).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

EPZ yawaliza wakazi B’moyo

Mipango ya uwekezaji mkubwa kupitia Ukanda Huru wa Uchumi (EPZ), imegeuka kuwa shubiri kwa wakazi wa vijiji kadhaa wilayani hapa baada ya utaratibu wa kuwalipa fidia kwa ajili ya ardhi yao itakayochukuliwa na miradi hiyo kusuasua.

 

11 years ago

Mwananchi

Mirerani sasa wataka EPZ kuharakishwa

Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, wameomba Serikali iharakishe ujenzi wa Eneo Huru la Biashara (EPZ) ili wapate soko la uhakika wa madini yao.

 

10 years ago

TheCitizen

EPZ exports expected to hit $300m this year

Dar es Salaam. Tanzania’s exports from companies licensed by the Export Processing Zones Authority (EPZA) are expected to grow by 36.36 per cent to $300 million as the regulator eyes to register 25 more companies this year.

 

10 years ago

Mwananchi

EPZ Bagamoyo yawavutia wawekezaji kutoka China

Naibu Gavana wa Jimbo la Ji Lin China, ZhongCheng Sui amesema eneo la uwekezaji lililopo Kijiji cha Kerege wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ni kivutio cha wafanyabiashara wa nje.

 

11 years ago

TheCitizen

Here’s the scoop on the TIB-EPZ deal to raise major funding

EPZA officials say that loans from TIB will help them develop and equip EPZA investment areas with vital infrastructure so as to attract investors.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuufanyie kazi mpango wa EPZ ili kuongeza ajira

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana. Maana yake ni kwamba hali ya uchumi nchini haikui vizuri, hivyo inashindwa kusaidia wengi kupata ajira.

 

9 years ago

Mwananchi

Tuico yaingilia kati mgomo wa Urafiki

Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda na Biashara (Tuico) Mkoa wa Dar es Salaam, kimewataka wafanyakazi wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kusitisha mgomo na kuendelea na kazi wakati madai yao ya nyongeza ya mishahara na posho yakiendelea kushughulikiwa na mwajiri wao.

 

9 years ago

Habarileo

TUICO: Migogoro ya kazini bado ni mingi

CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na ushauri (TUICO) kimekiri kuwepo kwa migogoro mingi baina ya wafanyakazi na waajiri wao. Hayo yalisemwa jana na wakili wa chama hicho kutoka makao makuu Dar es Salaam, Noel Nchimbi, kwenye mkutano mkuu wa TUICO kwa mkoa wa Shinyanga.

 

11 years ago

TheCitizen

Tuico seeks to block Shoprite transfer

>The Labour Division of the High Court will  today hear an injunction filed by  the Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers (Tuico) that aims  at blocking business ownership transfer from Shoprite Checkers (T) Limited to Nakumatt of Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani