Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wivu huleta migogoro kazini

WAKATI unapokuwa na mafanikio katika kampuni au eneo la kazi, unaweza kujikuta una marafiki wengi, pamoja na maadui wachache. Hawa maadui mara nyingi wamekuwa wakijaribu kukuangusha au kukufanya ushindwe katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TUICO: Migogoro ya kazini bado ni mingi

CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na ushauri (TUICO) kimekiri kuwepo kwa migogoro mingi baina ya wafanyakazi na waajiri wao. Hayo yalisemwa jana na wakili wa chama hicho kutoka makao makuu Dar es Salaam, Noel Nchimbi, kwenye mkutano mkuu wa TUICO kwa mkoa wa Shinyanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uaminifu, nidhamu huleta mafanikio

KATIKA maisha hakuna njia ya mkato ya mafanikio. Uwezekano wa kufanikiwa upo, thawabu ipo lakini mpaka uwe na uhitaji huo. Ili ufanikiwe, yakupasa ufanye kazi kwa bidii, kwani ni muhimu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Imani: Wanyama walemavu huleta laana?

Wanyama walemavu wamekuwa wakihusishwa na imani potofu kuwa wanaleta laana kwenye Familia nchini Kenya

 

10 years ago

Mwananchi

Meneno machache huleta usahihi wa Kiswahili

Ni muhimu kwa mwandishi kutumia maneno machache yanayoeleweka kuliko kuiremba lugha yake kwa maneno mengi yasiyokuwa ya lazima. Kwa mfano mtu akisema ‘kutojiandaa katika mpango huo’ ni sawa na kusema ‘kutojiandaa’ au ‘Waapa kumwadhibu mbunge wao’ ni sawa na kusema, ‘Wamtishia mbunge wao’. Sasa angalia sentensi zifuatazo:

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO HULETA AMANI, UPENDO NA KUHESHIMIANA -TANZANIA

Na Mwandishi Maalum, New York  Imeelezwa kwamba michezo ya aina yoyote ile kuanzia mpira wa miguu hadi mchezo wa bao, ikutumiwa vema na kwa uzito unaostahili ni moja ya eneo ambalo linaweza kuchangia katika siyo tu kuchochea kasi ya maendeleo bali hata katika kudumisha Amani, upendo na mshikamano miongoni mwa na baina ya mataifa. Ni kwa sababu hiyo jana ( Jumatatu) Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa mara nyingine Azimio ambalo pamoja na mambo mengine...

 

10 years ago

Mwananchi

Dawa ya Wivu

Mhariri langu  swali, litue kwako mezani, Ina hofu yangu hali, jibu liwe makini, Kimara wala si mbali, makazi yangu jijini, Dawa ya wivu ni nini, nijibuni wahisani.

 

11 years ago

Habarileo

Magufuli: Acheni wivu

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewataka wahandisi kuacha kuoneana wivu na kupeana kazi ili kudumisha uzalendo katika ujenzi wa miradi mbalimbali hususan ya barabara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani