Dawa ya Wivu
Mhariri langu swali, litue kwako mezani, Ina hofu yangu hali, jibu liwe makini, Kimara wala si mbali, makazi yangu jijini, Dawa ya wivu ni nini, nijibuni wahisani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 May
DAWA YA WIVU NINI?
             Mhariri langu swali, litue kwako mezani,
Inahofu yangu hali, jibu liwe makini,
Kimara wala si mbali, makazi yangu Jijini,
Dawa ya wivu ni nini? Nijibuni wahisani.
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Dawa ya wivu ni nini?
Nawauliza waganga, walio bara na pwani,
Mikoba waliofunga, wakaeweka kwapani
Wapigaji wamburuga, walo mitihani,
Dawa ya moto ni mota, dawa ya wivu ninini?
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-XqMvbPM0ix0/VO38l5BD64I/AAAAAAABmco/T46rg_vBm7E/s72-c/BODI%2B2.jpg)
BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-XqMvbPM0ix0/VO38l5BD64I/AAAAAAABmco/T46rg_vBm7E/s640/BODI%2B2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jhjeV0C3F9k/VO381AjrVKI/AAAAAAABmcw/e8GqpRWckLg/s640/BODI%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TRi-8a7wuKA/VO3-36wLcZI/AAAAAAABmc8/-JA_3B0L1Qc/s640/0236.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T56Ho0rXFCo/UwYiy9pDnLI/AAAAAAAFOXQ/-1v0oRADaOc/s72-c/DSC_9936.jpg)
MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa
![](http://2.bp.blogspot.com/-T56Ho0rXFCo/UwYiy9pDnLI/AAAAAAAFOXQ/-1v0oRADaOc/s1600/DSC_9936.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ld1-OWeqWYU/Xqa0CNkr0CI/AAAAAAALoUU/PWyN-g6l4VsLNErdy8lXPAWlZO2l4uazgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200423-WA0034.jpg)
DUKA LA DAWA HOSPITALI YA BAGAMOYO LASAIDIA UPATIKANAJI WA DAWA KIRAHISI
![](https://1.bp.blogspot.com/-ld1-OWeqWYU/Xqa0CNkr0CI/AAAAAAALoUU/PWyN-g6l4VsLNErdy8lXPAWlZO2l4uazgCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200423-WA0034.jpg)
Duka hilo lililoanzishwa kwa mtaji wa sh.milioni 4, walianza kununua dawa muhimu na za lazima kwa wateja wa Bima.
Hayo yalielezwa na Mganga Mkuu wa wilaya (DMO) Dk. Aziz Msuya mbele ya viongozi wa halmashauri ya...
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Ampicillin; Dawa za kutibu U.T.I (2)Usizitumie sanjari na dawa za kupanga uzazi
Mpendwa msomaji nakushukuru kwa kutenga muda wako kwa ajili ya kusoma safu hii. Katika makala yetu ya leo nitaendelea kutoa maelezo ya namna bora ya kutumia dawa za kutibu U.T.I. Kwa faida ya wasomaji wapya nitaelezeza tena kwa ufupi kuhusu ugonjwa wa U.T.I.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_TC1iDkUOLk/XtFLb--XwZI/AAAAAAALsA8/T9EEsUiZEa0e1LY9gFB_DVP2sm3ORSFlQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200529-WA0082.jpg)
MTAFITI WA DAWA ZA MITISHAMBA AIOMBA SERIKALI KUICHUNGUZA DAWA YAKE YA CORONA ALIYOIGUNDUA.
Na Woinde Shizza ,ARUSHA
Mtafiti wa Dawa za asili aliyejulikana kwa jina la Rose Roberty (changa Muja) ameiomba Serikali kumsaidia kupima dawa aliyogundua na kuifanyia majaribio kuona kama inatibu ugonjwa wa Corona (Covid-19)
Akiongea na waandishi wa habari leo nyumbani kwake,Rose alieleza kuwa ameweza kugundua dawa ambayo inaweza ikatibu ugonjwa huu ambao unaotikisa dunia ,na anaimani kabisa dawa hiyo itaweza kuponya ugonjwa huo.
Alisema dawa hiyo inatokana na mchanganyiko wa miti shamba...
Mtafiti wa Dawa za asili aliyejulikana kwa jina la Rose Roberty (changa Muja) ameiomba Serikali kumsaidia kupima dawa aliyogundua na kuifanyia majaribio kuona kama inatibu ugonjwa wa Corona (Covid-19)
Akiongea na waandishi wa habari leo nyumbani kwake,Rose alieleza kuwa ameweza kugundua dawa ambayo inaweza ikatibu ugonjwa huu ambao unaotikisa dunia ,na anaimani kabisa dawa hiyo itaweza kuponya ugonjwa huo.
Alisema dawa hiyo inatokana na mchanganyiko wa miti shamba...
9 years ago
MichuziMSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa
Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...
11 years ago
MichuziPOLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-EwjUyaEScrY/Ux2DlBq6VaI/AAAAAAAA0Rg/qUnegDdlwak/s1600/01.MSD5.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania