Meneno machache huleta usahihi wa Kiswahili
Ni muhimu kwa mwandishi kutumia maneno machache yanayoeleweka kuliko kuiremba lugha yake kwa maneno mengi yasiyokuwa ya lazima. Kwa mfano mtu akisema ‘kutojiandaa katika mpango huo’ ni sawa na kusema ‘kutojiandaa’ au ‘Waapa kumwadhibu mbunge wao’ ni sawa na kusema, ‘Wamtishia mbunge wao’. Sasa angalia sentensi zifuatazo:
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Dec
Usahihi wa fedha akaunti ya Escrow
WAKATI kukiwa na taarifa zinazochapishwa na vyombo vya habari kuwa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu (BoT), kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika Julai 5, 2006, zilikuwa Sh bilioni 306.6, kabla ya kutolewa kwa fedha hizo mwaka 2013, taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imethibitisha sio kweli.
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Uaminifu, nidhamu huleta mafanikio
KATIKA maisha hakuna njia ya mkato ya mafanikio. Uwezekano wa kufanikiwa upo, thawabu ipo lakini mpaka uwe na uhitaji huo. Ili ufanikiwe, yakupasa ufanye kazi kwa bidii, kwani ni muhimu...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Wivu huleta migogoro kazini
WAKATI unapokuwa na mafanikio katika kampuni au eneo la kazi, unaweza kujikuta una marafiki wengi, pamoja na maadui wachache. Hawa maadui mara nyingi wamekuwa wakijaribu kukuangusha au kukufanya ushindwe katika...
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Imani: Wanyama walemavu huleta laana?
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M0c38LRTWp4/Vi7toHoA56I/AAAAAAAIC9o/qy1XtBBnH4Y/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
MICHEZO HULETA AMANI, UPENDO NA KUHESHIMIANA -TANZANIA
9 years ago
Habarileo08 Oct
Mkwasa alia mabao machache
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa anasema pamoja na kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi, lakini lengo lao halikutimia kwani walitaka kushinda mabao mengi.
11 years ago
BBCSwahili26 Jan
Mkutano wa Syria wazaa matunda, machache
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ahJjIDDkNIk/XsUvdMq4WBI/AAAAAAALq-4/kYfpPpZw0OMxBQF3v0fAQ6xadJ_1g4G8QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-20%2Bat%2B11.55.36%2BAM.jpeg)
WAKALA WA VIPIMO TUPO SEHEMU ZOTE, KUHAKIKISHA VIPIMO VINATUMIKA KWA USAHIHI-STELLA
Stella ameyasema hayo leo, May 20, 2020 jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho hayo yenye Kaulimbiu ya Vipimo katika Biashara ya Kimataifa. “Tanzania ni nchi ambayo inafanya Biashara kubwa nchi mbalimbali, vipimo...