Tuipe mtazamo mpya michezo ilete tija
Mara nyingi tumeambiwa kuwa michezo ni burudani, furaha pia ni sekta inayoweza kutoa ajira kwa vijana au watu wengine wanaojihusisha nayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Jun
MTAZAMO : Viongozi wa michezo hawaipendi michezo
Uzuri uko kwenye macho ya yule anayeuona. Sasa unaweza kujiuliza, je, anayeuona ni nani?, Je, ni mwenyewe mhusika au ni watu wengine. Wenye kuuona uzuri ni wengi na kila mtu ana haki ya kuamua kama anachokiona machoni mwake ni kizuri au la.
9 years ago
Mwananchi17 Aug
MTAZAMO: Baraza la Michezo la Taifa liondolewe haraka
Kusimamia michezo ni gharama kubwa hata Serikali za nchi zilizoendelea hazisimamii michezo moja kwa moja kwa sababu ya kuelewa suala la gharama.
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Safu mpya CHADEMA ilete mageuzi
MACHO na masikio ya wanaoitakia mema nchi hii, wanautegemea uongozi mpya wa Chama cha Demokrasia na Maeneleo (CHADEMA) toka msingi, wilaya, mkoa na taifa, kukomeshe fedha za walalahoi zinazotafunwa na...
10 years ago
Mwananchi06 Jul
MTAZAMO : Wizara ya michezo ni kama haipo, tazameni vizuri
Kwa nini taasisi za kijamii zisipendekeze awamu moja ya uongozi wa Serikali iwe na miaka sita au saba badala ya kuhimiza utawala wa awamu mbili za miaka mitano mitano? Nadhani wafanyie kazi jambo hili.
9 years ago
Mwananchi04 Jan
MTAZAMO : Wako wapi wanamichezo wa michezo yetu ya jadi?
Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo mbalimbali nchini katika makabila yao.
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Lowassa ataka tija katika michezo
Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa amesema juhudi anazofanya Rais Jakaya Kikwete katika kuinua sekta ya michezo nchini bado mafanikio yake hayaridhishi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0siS8-FppCXkPGFUo0qQzBZB8o-*g9PeqJUANfIlAPNWZ8Ul7-g4aYgdFm-EtaPeGIWbknoforuS5LhtN-knLU7stPYCcvp/jk1.jpg?width=650)
WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Ferrari na mtazamo mpya kibiashara.
Ferrari kujitegemea kibiasha hasa ikizingatiwa siku za hivi karibuni mtaji wake umekua.
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Tuyape maonyesho ya Nanenane mtazamo mpya
Kesho ni kilele cha Sikukuu ya Wakulima, Nanenane ambayo maadhimisho yake kitaifa yanafanyika mkoani Lindi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania