Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safu mpya CHADEMA ilete mageuzi

MACHO na masikio ya wanaoitakia mema nchi hii, wanautegemea uongozi mpya wa Chama cha Demokrasia na Maeneleo (CHADEMA) toka msingi, wilaya, mkoa na taifa, kukomeshe fedha za walalahoi zinazotafunwa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Chadema waunda safu mpya Kigoma

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Na Editha Karlo, Kigoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kigoma, kimefanya uchaguzi na kuchagua viongozi wa chama hicho wa mkoa na wilaya.

Mkurugenzi Mkuu wa Oganaizesheni na Usimamizi katika chama hicho, Benson Kigaila ambaye alikuwa msimamizi wa uchaguzi huo, alisema ulifanyika kuziba mapengo yaliyoachwa wazi baada ya viongozi kujiuzulu.

Kigaila aliwataja viongozi waliochaguliwa ambao watashika madaraka hayo hadi uchaguzi utakapofanyika...

 

10 years ago

GPL

SAFU MPYA YA UONGOZI WA CHADEMA KWA MIAKA MITANO IJAYO

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Profesa Abdallah Safari (kulia) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed (kushoto) mara baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu jana. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Hashim Juma Issa.…

 

10 years ago

Mwananchi

Tuipe mtazamo mpya michezo ilete tija

Mara nyingi tumeambiwa kuwa michezo ni burudani, furaha pia ni sekta inayoweza kutoa ajira kwa vijana au watu wengine wanaojihusisha nayo.

 

9 years ago

Michuzi

SAFU MPYA NISHATI NA MADINI

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Paul Masanja (kulia) akipokea shada la maua kutoka kwa Cecilia Mrope Afisa kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (kulia), akibadilishana Nyaraka za Makabidhiano na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto). Maswi ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto),...

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA CHADEMA WAJIUNGA NCCR - MAGEUZI

Mkuu wa Idara ya  Uenezi  na Mawasiliano  ya Umma wa Chama cha NCCR – Mageuzi taifa Edward Simbeye (kulia) akimkabidhi Katiba na Kadi ya NCCR - Mageuzi aliyekuwa Katibu wa Chadema ni msingi Kanda ya Serengeti na Operation Kamanda Chadema ni Msingi katika Majimbo ya Solwa,Kongwa na Temeke Bi. Eunice Kanumba.Mkuu wa Idara ya  Uenezi  na Mawasiliano  ya Umma wa Chama cha NCCR – Mageuzi taifa Edward Simbeye (kulia) akimkabidhi Charles Shigino Kadi ya NCCR - Mageuzi.Wanachama wapya wa NCCR -...

 

10 years ago

Mwananchi

Urais wawagonganisha NCCR-Mageuzi, Chadema

>Chama cha NCCR-Mageuzi kimeponda kauli ya Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kwamba Katibu mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani, Dk Willibrod Slaa ndiye atakayekuwa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUHAMIA NCCRA MAGEUZI


Mbunge wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini, leo Aprili 28, 2020 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga na chama cha NCCR-Mageuzi baada ya kumalizika kwa vikao vya  Bunge.


Jana, Selasini alidai kutengwa na wabunge wenzake wa chama chake cha CHADEMA ikiwemo  kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama hicho  ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe

 

5 years ago

Michuzi

KADA MWINGINE CHADEMA ATIMKIA NCCR-MAGEUZI, AKERWA NA KUTOTHAMINIWA KWA MWANAMKE

Charles James, Globu ya Jamii

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kukimbia na wanachama wake baada ya aliyekua kiongozi wa chama hicho kujiengua ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi.

Ndiholeye Kifu ambaye aliwahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo Ukatibu Mwenezi na baadae Mwenyekiti wa Bawacha wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Chadema (Chaso) kutoka Chuo Kikuu cha Katoliki Mwenge mkoani Kilimanjaro amejiuzulu kwa kile alichoeleza...

 

11 years ago

Habarileo

NCCR-Mageuzi yapata Katibu Mkuu mpya

ALIYEKUWA Katibu Mkuu taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Samuel Ruhuza amejitoa katika kinyang’anyiro cha kutetea nafasi yake hiyo. Hali hiyo imempatia ushindi wa kishindo, Mosena Nyambabe, ambaye alishinda kwa kura 57 kati ya kura 71 kwenye uchaguzi wa chama hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani