Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema waunda safu mpya Kigoma

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Na Editha Karlo, Kigoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kigoma, kimefanya uchaguzi na kuchagua viongozi wa chama hicho wa mkoa na wilaya.

Mkurugenzi Mkuu wa Oganaizesheni na Usimamizi katika chama hicho, Benson Kigaila ambaye alikuwa msimamizi wa uchaguzi huo, alisema ulifanyika kuziba mapengo yaliyoachwa wazi baada ya viongozi kujiuzulu.

Kigaila aliwataja viongozi waliochaguliwa ambao watashika madaraka hayo hadi uchaguzi utakapofanyika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Safu mpya CHADEMA ilete mageuzi

MACHO na masikio ya wanaoitakia mema nchi hii, wanautegemea uongozi mpya wa Chama cha Demokrasia na Maeneleo (CHADEMA) toka msingi, wilaya, mkoa na taifa, kukomeshe fedha za walalahoi zinazotafunwa na...

 

10 years ago

GPL

SAFU MPYA YA UONGOZI WA CHADEMA KWA MIAKA MITANO IJAYO

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Profesa Abdallah Safari (kulia) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed (kushoto) mara baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu jana. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Hashim Juma Issa.…

 

9 years ago

Michuzi

SAFU MPYA NISHATI NA MADINI

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Paul Masanja (kulia) akipokea shada la maua kutoka kwa Cecilia Mrope Afisa kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (kulia), akibadilishana Nyaraka za Makabidhiano na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto). Maswi ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto),...

 

9 years ago

Mtanzania

Kiongera, Ungando waunda pacha mpya Simba

kiongeraNA KOMBO ALI KOMBO, ZANZIBAR

MASHABIKI wa timu ya Simba visiwani hapa wameanza kufurahishwa na viwango vya nyota wao wapya, Paul Kiongera na Hijja Ungando, wakidai wametengeneza kombinesheni nzuri.

Ungando na Kiongera, aliyekuwa kwa mkopo KCB ya Kenya, wameanza kufanya vizuri kwenye maandalizi ya Simba kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.

Akizungumza mara baada ya mazoezi ya jana, mmoja wa mashabiki hao...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yapasuka Kigoma

Viongozi watatu wa Chadema mkoani Kigoma, wametangaza kujitoa katika chama hicho kwa madai hakina demokrasia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vigogo CHADEMA Kigoma wajiuzulu

VIONGOZI watatu wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Kigoma, wamejiuzulu nafasi na uanachama wao kwa madai ya ubabe wa viongozi wa chama hicho kitaifa. Waliojiuzulu ni...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaibana ACT Kigoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani hapa, kimetoa siku 14 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhani Maneno kuhakikisha anatoa amri ya kushushwa bendera ya Chama cha ACT katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Kigogo Chadema ashambuliwa Kigoma

Kigoma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uenezi Kanda ya Magharibi (Chadema), Deogratius Liyunga amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni baada ya kujeruhiwa na kundi la watu alipokuwa anaelekea nyumbani kwake usiku wa juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani