Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAFU MPYA YA UONGOZI WA CHADEMA KWA MIAKA MITANO IJAYO

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Profesa Abdallah Safari (kulia) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed (kushoto) mara baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu jana. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Hashim Juma Issa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA CUF KIPINDI CHA MIAKA MITANO VIWE VITENDEA KAZI KWA UONGOZI MPYA


 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasilisha taarifa ya chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwenye mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam.
 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF Taifa, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akiwasilisha taarifa ya chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwenye mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa CUF...

 

10 years ago

Mwananchi

Pengo: Nastaafu miaka mitano ijayo

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo amesema waumini wa kanisa hilo hawana sababu ya kuingiwa wasiwasi kuhusu hali yake kiafya kwa kuwa anastaafu miaka mitano ijayo.

 

11 years ago

Mtanzania

Chadema waunda safu mpya Kigoma

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Na Editha Karlo, Kigoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kigoma, kimefanya uchaguzi na kuchagua viongozi wa chama hicho wa mkoa na wilaya.

Mkurugenzi Mkuu wa Oganaizesheni na Usimamizi katika chama hicho, Benson Kigaila ambaye alikuwa msimamizi wa uchaguzi huo, alisema ulifanyika kuziba mapengo yaliyoachwa wazi baada ya viongozi kujiuzulu.

Kigaila aliwataja viongozi waliochaguliwa ambao watashika madaraka hayo hadi uchaguzi utakapofanyika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Safu mpya CHADEMA ilete mageuzi

MACHO na masikio ya wanaoitakia mema nchi hii, wanautegemea uongozi mpya wa Chama cha Demokrasia na Maeneleo (CHADEMA) toka msingi, wilaya, mkoa na taifa, kukomeshe fedha za walalahoi zinazotafunwa na...

 

11 years ago

Michuzi

MARA GROUP YAPATA UONGOZI MPYA UTAKAOONGOZA KWA MIAKA MITATU

Jamii ya Mara Group ya Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, imemchagua Philemon Oboro, kuwa Mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kuwaangusha wapinzani wake watatu.
Akitangaza matokeo hayo jana, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi huo Samwel Ombeng alisema Oboro alipata kura 523, Philipo Mtanda Onyando kura 60, Allan Gichana kura 33 na Jackson Onyango Mutaban kura nane.
Ombeng alisema Elija Ambonya alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Msaidizi kwa kupata kura 363 na...

 

10 years ago

Mwananchi

Safu za uongozi zakamilika

Chadema jana ilihitimisha kupanga safu yake ya uongozi kwa kuwachagua viongozi wa Taifa katika mkutano wake mkuu uliofanyika jijini hapa.

 

5 years ago

CCM Blog

UCHUKUAJI FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI KWA TIKETI YA CCM KUANZA JUMATATU IJAYO

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza leo.

CCMCCM Blog, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepuliza rasmi kipyenga cha mchakato wa kuwapata watakaobeba bendera ya Chama katika kugombea Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Kulingana na ratiba iliyotolewa leo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole mchakato wa kuwapata wanaoomba kugombea Urais...

 

10 years ago

Habarileo

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitano

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha maisha Kashindje Shija (50), baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani