Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NCCR-Mageuzi yapata Katibu Mkuu mpya

ALIYEKUWA Katibu Mkuu taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Samuel Ruhuza amejitoa katika kinyang’anyiro cha kutetea nafasi yake hiyo. Hali hiyo imempatia ushindi wa kishindo, Mosena Nyambabe, ambaye alishinda kwa kura 57 kati ya kura 71 kwenye uchaguzi wa chama hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani)  juu  ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.

Na Chalila Kibuda

AALIYEKUWA  Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUWA KATIKA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020 ATAGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA NCCR-MAGEUZI...


Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini Anthony Komu(Chadema) amtengaza rasmi baada ya muda wake wa ubunge kumalizika kwa mujibu wa sheria basi ataachana na Chama hicho na kisha kujiunga na NCCR-Mageuzi ambacho ndicho atatumia kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.

Mbali na kutangaza msimamo wake wa kuondoka Chadema wakati utakapofika, komu ametumia nafasi hiyo kuelezea hatua kwa hatua mwenendo wake wa kisiasa ndani ya Chadema ambao uaonesha kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Katibu Mkuu aisikitikia NCCR, asema historia itawahukumu

Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe amesema kuwa alitabiri kwamba historia itawahukumu na ndicho kilichotokea.

 

9 years ago

Michuzi

Katibu mtendaji BAKITA amkabidhi kamusi kuu mpya ya kiswahili katibu mkuu wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel(kulia) akikabidhiwa kamusi kuu mpya ya Kiswahili kutoka kwa Katibu Mtendaji kutoka baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Dkt Selemani Sewangi.Kamusi hiyo mpya ina jumla ya maneno makuu Zaidi ya elfu thelathini na sita(36000) na kurasa 1264. Katibu Mtendaji kutoka baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Dkt Selemani Sewangi(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na...

 

11 years ago

TheCitizen

NCCR-Mageuzi gets new secretary-general

Mr Mosena Nyambabe has been elected NCCR-Mageuzi Secretary-General. Mr Nyambabe was elected by the party’s Central Committee when it met on Sunday.

 

10 years ago

Mtanzania

NCCR-Mageuzi yapuliza kipenga

mosenaJonas Mushi na Adamu Mkwepu, Dar es Salaam
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa ratiba kwa wanachama wake kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Ratiba hiyo ilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Mosena Nyambabe, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho.
Alisema wanachama wenye sifa kwa mujibu wa katiba ya NCCR- Mageuzi pamoja na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wana haki ya...

 

9 years ago

Habarileo

NCCR Mageuzi yaongezewa majimbo

CHAMA cha NCCR Mageuzi kimesema katika mgawanyo wa majimbo yaliyofanywa na vyama vinavyounda umoja wa katiba (Ukawa) kimeongezewa majimbo mengine matano na hivyo kufanya chama hicho kuwa na majimbo 19 ambako watasimamisha wagombea.

 

9 years ago

Mwananchi

Makamu mwenyekiti NCCR - Mageuzi asimamishwa

Makamu Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore amesimamishwa uongozi kutokana na kukiuka taratibu na madai ya kushirikiana na CCM kukihujumu chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali: NCCR Mageuzi fuateni taratibu

>Siku moja baada ya Chama cha NCCR-Mageuzi kuitaka serikali kumpa ulinzi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokana na vitisho anavyopata baada ya kusimama  Bungeni na kutaka suala la upotevu wa fedha Escrow lichunguzwe, Serikali imesema ni lazima chama hicho kifuate taratibu zinazotakiwa ndipo waweze kupatiwa ulinzi wanaoutaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani