Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa ataka tija katika michezo

Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa amesema juhudi anazofanya Rais Jakaya Kikwete katika kuinua sekta ya michezo nchini bado mafanikio yake hayaridhishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tuipe mtazamo mpya michezo ilete tija

Mara nyingi tumeambiwa kuwa michezo ni burudani, furaha pia ni sekta inayoweza kutoa ajira kwa vijana au watu wengine wanaojihusisha nayo.

 

10 years ago

Habarileo

DC ataka wanamgambo walioajiriwa kujali tija

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Christopher KangoyeMKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Christopher Kangoye amewataka vijana 120 wa wilaya hiyo waliopata ajira ya kupitia kampuni ya Suma JKT, kuzingatia uadilifu na uzalendo ili wawe na tija kwa taifa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond

Monday, August 31, 2015 MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa […]

The post Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

TIMU YA MICHEZO YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO YA HASWA KUWA MFANO KATIKA MASHINDANO YA SHIMIWI

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Titus Mkapa akimkaribisha Mwenyekiti wa timu ya Wizara HUM Sports Club (hayupo pichani) ili atoa salama za wachezaji kwa mgeni rasmi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wachezaji wa timu hiyo leo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (HUM Sports Club) Dkt. Margareth Mtaki...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Michezo ya Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo ya haswa kuwa mfano katika mashindano ya SHIMIWI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi Mwanamichezo aliyeiletea Wizara ushindi katika mashindano ya SHIMIWI na Meimosi mwaka jana Bibi. Niuka Chande. Mchezaji huyo aliibuka mshindi katika michezo ya Draft na kurusha Tufe na kuiletea Wizara vikombe viwili. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa Timu ya Wizara Dkt. Margareth Mtaki.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu ataka michezo iwe kitega uchumi

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) na Waziri Kivuli wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema ili michezo nchini ifanikiwe ni lazima igeuzwe kuwa kitega uchumi kwa taifa.

 

10 years ago

Michuzi

Mradi wa kutekeleza tija ya uzalishaji katika nyanda za juu kusini wawanufaisha wakulima

Afisa kilimo wa mtandao wa kilimo hifadhi barani Afrika (ACTN) Nicholas Johanes (wa kwanza kulia aliyechuchumaa aliyeshika simu) akitoa maelezo kwa kulima(nyuma yake) kuhusu mambo ya kuzingatia wakati wa siku ya wakulima iliyofanyika katika kijiji cha Laela wilaya ya Sumbawanga . Wapili kushoto ni Joseph Mwangono , Afisa kilimo halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga.
Wakulima wakiangalia moja ya shamba darasa Mbeya vijini . Aliyechuchumaa ni Nicholas Johaness, afisa kilimo (ACTN)
Na mwandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani