DC ataka wanamgambo walioajiriwa kujali tija
MKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Christopher Kangoye amewataka vijana 120 wa wilaya hiyo waliopata ajira ya kupitia kampuni ya Suma JKT, kuzingatia uadilifu na uzalendo ili wawe na tija kwa taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Lowassa ataka tija katika michezo
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Wanafunzi waaswa kujali nidhamu
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Hong Kong yatakiwa kujali Demokrasia
9 years ago
Habarileo15 Dec
Serikali yapongezwa kujali wenye ulemavu
SHIRIKISHO la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), limempongeza Rais John Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kuyajali na kuyapa kipaumbele masuala ya Watanzania wenye ulemavu kwa kuhamishia masuala yao chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa utekelezaji wenye tija.
11 years ago
Habarileo13 Mar
Kificho apongezwa kujali wajumbe walemavu
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba ambaye ni mlemavu, Amon Mpanju amemshukuru Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Pandu Ameir Kificho pamoja na uongozi wake kwa kuwajali wajumbe walemavu.
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Papa Francis awataka viongozi kujali
9 years ago
Habarileo24 Aug
Makonda aipongeza Basata kujali wasanii
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amelipongeza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kujali afya za wasanii kwa kuandaa semina maalumu kwa ajili ya kuwaelimisha wasanii umuhimu wa kuwa na bima ya afya.
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Vyama vyashauriwa kujali maoni ya wananchi
WANANCHI wamevitaka vyama vya siasa kuacha mtindo wa kugeuza Katiba kama mali yao badala yake wakubali kusikiliza maoni ya wananchi. Wananchi hao pia wamelaani vikao vya mara kwa mara vinavyofanywa...
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Pakistan:Wanamgambo kifungoni