Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUJIKUMBUSHE TULIKOTOKA

Tujikumbushe tulikotoka, itakuwa inawajia kila jumamosi na jumapili, tutakuwa tunaweka picha na video za matokeo mbali mbali yaliopita,(zamzni) ikwa mashuleni, kijijini, kazini, michezoni, maghafali mbali mbali, maigizo, nyimbo na picha binafsi. tafadhali tutumie kupitia email tujikumbushetulikotoka@gmail.com vikiambatana na maelezo, ili wasomaji na wadau wa vijimambo tuweze kujikumbusha mambo tuliopitia
Dr. Salmin Amour Juma alipokuwa rais wa zanzibar akiwa na mama Salma Salmin

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TUJIKUMBUSHE TULIKOTOKA. JOHN BROWN MPIGANAJI KATIKA KUMALIZA UTUMWA, ALIEJULIKANA KATIKA SHAMBULIO LAKE LA HARPER FERRY 1859

Mwanaharakati John Brown alienyongwa mwaka December 2, 1859 huko west Virgina, ambayo ilikuwa ni sehemu ya state ya Virginia kwa wakati huo, jina lake halitasahaulika kwa harakati zake za kupigania kuondosha biashara ya utumwa.Mji unaojulikana kama Charles Town ni mji iliopo west virginia ambayo zamani ilikuwa virginia wakati huo ambao alikamatwa na kuhukumiwa kunyongwa kwa mwa harakati aliekuwa akinga biashara ya utumwa  Bw. John BrownJefferson County Courthouse. Beginning on October 25,...

 

10 years ago

Mwananchi

Tujikumbushe

i jambo lililo wazi kwamba katika maeneo ya nchi za tropiki kwa mwaka, moja kuna vipindi vinavyotofautiana kulingana na hali ya hewa. Vipindi hivi ni vya kiangazi, masika na kipupwe. Katika nchi za Ulaya, Marekani na baadhi ya nchi za Asia viko vipindi vinne ambavyo ni kiangazi, kipupwe, baridi na kipindi cha kupuputika kwa majani (autumn). 

 

10 years ago

Mwananchi

TUJIKUMBUSHE WASIA

Mwaka 1958 alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa Chama cha Taifa la Kongo (Movement National Congolais). Mwaka 1960 akawa Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kudai uhuru kutoka kwa wakoloni katili wa Kibelgiji.

 

11 years ago

Mwananchi

Tujikumbushe tunayojifunza

Mwalimu hachoki kuwalekeza wanafunzi wake mara kwa mara, ili kuhakikisha kuwa kilichofundishwa kinashadidiwa kwa kukumbushana mara kwa mara.

 

9 years ago

Vijimambo

TUJIKUMBUSHE TILIKOTOKA

Tujikumbushe tulikotoka, itakuwa inawajia kila jumamosi na jumapili, tutakuwa tunaweka picha na video za matokeo mbali mbali yaliopita,(zamzni) ikwa mashuleni, kijijini, kazini, michezoni, maghafali mbali mbali, maigizo, nyimbo na picha binafsi. tafadhali tutumie kupitia email tujikumbushetulikotoka@gmail.com vikiambatana na maelezo, ili wasomaji na wadau wa vijimambo tuweze kujikumbusha mambo tuliopitia

Hayati Abeid Aman Karume, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakiwa na mzee Hassan Nassor Moyo

 

10 years ago

Vijimambo

TUJIKUMBUSHE, TANZANIA PROFILE



DOCUMENT - TANZANIE: AMNESTY INTERNATIONAL APPELLE LES AUTORITIÉS À RESPECTER LE DROIT À LA LIBERTÉ DE RÉUNION À ZANZIBAR ET À DAR ES SALAAM

30 January 2001

AI Index AFR 56/003/2001 - News Service Nr. 18

Zanzibar and Dar es Salaam: Amnesty International calls on the authorities to respect the freedom of assembly
"The excessive force used by the Tanzanian police over the last four days in Zanzibar and Dar es Salaam in an attempt to prevent freedom of assembly is appalling,”Amnesty International...

 

10 years ago

Mwananchi

Tujikumbushe mada za Kiswahili kidato cha nne

 uhakiki wa kazi za fasihi andishi. Hii ni mada ya muhimu inayotoa mwanga kuhusu uchambuzi wa vitabu na mwongozo kwa mwanafunzi kujibu vyema maswali ya kazi za kifasihi

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani