TUJIKUMBUSHE NUMERALI ZA KIRUMI KUTOKA 1 HADI 100 NA KUENDELEA
M=1000D =...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-FzSnDwlnNpU/VXce905JnKI/AAAAAAAAfs8/NMafMEUqZ7g/s72-c/dr%2Bmalecela%2B3.jpg)
Dkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-FzSnDwlnNpU/VXce905JnKI/AAAAAAAAfs8/NMafMEUqZ7g/s640/dr%2Bmalecela%2B3.jpg)
11 years ago
Michuzi11 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/6aWqsbW3A8U/default.jpg)
Kutoka Maktaba: Magufuli - (2005) tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami
WANANCHI wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami,hayo yalisemwa Bungeni Mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokua akijibu swali la Martha Mlata (Viti Maalum-CCM), swali lililohoji juu ya ahadi ya Serikali katika kipindi cha awamu ya nne na ahadi hiyo iliyosema wananchi wataweza kusafiri kwa taxi toka Mtwara hadi Bukoba.
Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami...
Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami...
11 years ago
Mwananchi26 Jan
TMA: Mvua kuendelea kunyesha hadi Aprili
Siku chache baada ya mafuriko makubwa kutokea katika eneo la Dumila mkoani Morogoro na kusababisha watu kupoteza makazi na mali mbalimbali, Idara ya Hali ya Hewa(TMA),imesema mvua hizo zitaendelea hadi Aprili mwaka huu.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Lankii kutoka udalali hadi ujasiriamali wa kimataifa
UJASIRIAMALI una maana pana, miongoni mwa hizo ni kuwa na hamasa kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika uchumi. Pia katika hali nyingine mjasiriamali anaweza kuwa mtu yeyote anayejishughulisha katika sekta...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Kutoka Single moja hadi ya Moto Band
“KUKUPENDA imekuwa kero, na kuja kunitenda mwana wa mwenzio, nachofanya mi sikioni ila masikio yanasikia we x 2. Kukupenda nakupenda kweli ahaa sikatai, uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi x...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Kutoka ‘hausigeli’ hadi kumiliki maduka London (1)
Jina la Flora Lyimo au Mbuta Nanga limekuwa maarufu katika mitaa ya Oxford inayosifika kwa kuwa na wabunifu wakubwa duniani, jijini London nchini Uingereza.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FiztFdiPwCoQPJ6c5ZXVZ61HOqP1YZ8ERlo*xyO0aKsxhbBRV3xJS4j78WUqeAA66enN31zaXvc7HBXvWGF2WaKTEt3q7c2f/14_04_kassimk_843.jpg?width=650)
KUTOKA MKIMBIZI, BABANTILIE, BBC HADI AZAM TV -2
Mtangazaji wa Azam, Kassim Kayira. MTANGAZAJI wa kimataifa, Kassim Kayira ndiye anayetupambia ukurasa huu. Anasimulia kila kitu kuhusu maisha yake, tangu kuzaliwa hadi alipo sasa. Ni simulizi tamu, yenye kusisimua na iliyojaa mafunzo mengi kuhusu maisha na mafanikio.
Mitihani, misukosuko, mihangaiko, mateso na mikikimikiki aliyokutana nayo, ndiyo imekuwa chachu na ngazi muhimu ya kumfikisha hapo alipo sasa. Hii ni sehemu ya...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Jeniffer Mgendi: Kutoka uimbaji hadi uigizaji
Wakati akiendelea kutamba na video yake mpya ya “Hongera Yesuâ€, ambayo imewashirikisha waimbaji na wasanii mbalimbali kama Bahati Bukuku, Godliver Vedastus, Boniphace Mwaitege, Christine Matai na wengineo, Jeniffer Mgendi Juni anatarajia kuachia filamu ya “Shelinaâ€.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania