Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA MKIMBIZI, BABANTILIE, BBC HADI AZAM TV -2

Mtangazaji wa Azam, Kassim Kayira. MTANGAZAJI wa kimataifa, Kassim Kayira ndiye anayetupambia ukurasa huu. Anasimulia kila kitu kuhusu maisha yake, tangu kuzaliwa hadi alipo sasa.  Ni simulizi tamu, yenye kusisimua na iliyojaa mafunzo mengi kuhusu maisha na mafanikio.
Mitihani, misukosuko, mihangaiko, mateso na mikikimikiki aliyokutana nayo, ndiyo imekuwa chachu na ngazi muhimu ya kumfikisha hapo alipo sasa. Hii ni sehemu ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Kutoka mkimbizi, baba n’tilie, BBC hadi Azam TV 7

Ahamishiwa kijijini, aacha kazi!

VYEMA kusoma historia za watu waliofanikiwa maishani. Kujua walikotoka na jinsi walivyofanikisha malengo yao, ni kichocheo kikubwa katika kukutia hamasa ya kuzidi kupambana na maisha.

Kassim Abraham Kayira ni miongoni mwa waliogeuza ndoto kuwa uhalisia. Ni mmoja wa watangazaji maarufu ulimwenguni. Amepitia vituo mbalimbali vya kitaifa na kimataifa. Hapa anasimulia jinsi safari yake ilivyokuwa ngumu kuyafikia mafanikio ya utangazaji aliyonayo.

Yapo matukio...

 

9 years ago

Global Publishers

Kassim Kayira: Kutoka mkimbizi, baba n’tilie, BBC hadi Azam TV

14_04_kassimk_843Kassim Kayira.

Kassim Kayira, mtu ambaye hakuwahi kuwaza kama angeweza kuwa mtu tajiri na maarufu kama alivyo, kupitia uandishi wa habari na utangazaji, amepambana kujiweka mahali pazuri na sasa anapata kila kitu alichokosa utotoni na anasimulia maisha yake.

Wiki iliyopita, aliishia pale alipoacha kazi baada ya kuona mazingira siyo mazuri, kwamba aliundiwa zengwe baada ya kuanika ufisadi mkubwa uliofanywa na viongozi katika serikali ya Kagame, ikihusisha ununuzi wa magari ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Dkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015

Mapema wiki hii, mwanasanyansi wa kimataifa Mtanzania, mwanamama Dokta Mwelecele (Mwele) Malecela, alitangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi CCM. Dokta Mwele ambaye hadi wakati anatangaza uamuzi huo ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), ana historia ya kipekee ambayo nilibahatika kuifahamu kupitia chapisho moja lililopo katika blogu hii. Hata hivyo, chapisho hilo ambalo lilisomwa na maelfu ya watu,...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA

Habari na picha na Editha Karlo, wa Globu ya Jamii Kigoma

MTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma  kwa ugonjwa usiojulikana. 
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni  kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka Maktaba: Magufuli - (2005) tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

WANANCHI wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami,hayo yalisemwa Bungeni Mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokua akijibu swali la Martha Mlata (Viti Maalum-CCM), swali lililohoji juu ya ahadi ya Serikali katika kipindi cha awamu ya nne na ahadi hiyo iliyosema wananchi wataweza kusafiri kwa taxi toka Mtwara hadi Bukoba.
Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami...

 

10 years ago

GPL

CHARLES HILLARY NKWANGA AAGA RASMI BBC, KURUDI AZAM TV

Mtangazaji Charles Hillary (kulia) akiwa na mtangazaji mwanzake wa BBC wakati alipokuwa akiaga rasmi kituoni hapo. Mmoja kati ya wafanya kazi wenzake akionesha jezi iliyoandikwa jina la Nkwanga. Charles Hillary akiwa mtangazaji mwenzake wa BBC Zuhura Yunus katika picha ya pamoja.…

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani