Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHARLES HILLARY NKWANGA AAGA RASMI BBC, KURUDI AZAM TV

Mtangazaji Charles Hillary (kulia) akiwa na mtangazaji mwanzake wa BBC wakati alipokuwa akiaga rasmi kituoni hapo. Mmoja kati ya wafanya kazi wenzake akionesha jezi iliyoandikwa jina la Nkwanga. Charles Hillary akiwa mtangazaji mwenzake wa BBC Zuhura Yunus katika picha ya pamoja.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHARLES HILLARY ATUA RASMI AZAM TV

Mtangazaji Charles Hillary akiwa ndani ya studio za Azam TV. MTANGAZAJI mahiri Charles Hillary aliyekuwa Shirika la Habari la BBC jijini London leo ametua rasmi katika kituo cha Television cha Azam TV kuungana na watangazaji wenzake.
Katika tasnia ya habari, Charles Hillary amefanya kazi ya utangazaji kuanzia mwaka 1980 hadi mwaka 1993 akiwa Radio Tanzania Dar es Salaam.
Mwaka 1994 alijiunga na Radio One ikiwa ni radio ya...

 

10 years ago

Vijimambo

CHARLES HILARY ASTAAFU RASMI BBC LONDON

Picha za sherehe fupi za kumuuaga rasmi Charles Hilary, ambaye anarejea nyumbani baada ya kustaafu rasmi kutoka BBC London. Sherehe zilizofanyika kwenye jumba la utangazaji W1 jijini London.

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON:Charles Hillary awahoji wachambuzi

Dimba la mataifa ya Afrika likisubiriwa kwa hamu, mtangazaji wa BBC Charles Hillary ahawoji wachambuzi kuangazia timu

 

10 years ago

Mwananchi

Charles Hillary: Wawekezaji wazawa wamenirudisha TZ

Ilitokea, lakini haikuandikwa. Charles Hilary ndiye Mtanzania wa kwanza kutangaza kwa Kiswahili mechi za fainali za Kombe la Dunia akiwa uwanjani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa BBC Komla Dumor aaga dunia

Mwandishi wa BBC Komla Dumor amefariki ghafla nyumbani kwake kutokana na mshtuko wa moyo.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Habarileo

Membe aaga Bunge rasmi

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameaga rasmi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kusema hatasimama tena katika Bunge hilo kwa nafasi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani