Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe aaga Bunge rasmi

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameaga rasmi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kusema hatasimama tena katika Bunge hilo kwa nafasi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

ZITTO AAGA BUNGE RASMI

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoHATIMAYE Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amekubali yaishe na kuamua kuaga wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Watanzania, wabunge wenzake na wajumbe wa Kamati wa Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kabla ya kutangaza kuachia ubunge wake.

 

10 years ago

Michuzi

Breaking newzzzz: Mhe Zitto Zuberi Kabwe aaga rasmi Bunge usiku huu dodoma

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe (pichani) usiku huu ametangaza rasmi Bungeni Dodoma kuachia kiti hicho alichokipata kupitia CHADEMA.Mhe. Kabwe ametangaza kung'atuka nafasi hiyo baada ya Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Hassan Zungu Kumruhusu kutoa kauli binafsi mara baada ya wabunge kumaliza kupitia vifungu vya sheria ya Maafa ambayo hata hivyo haikupitishwa kwa kutotimia akidi ya wabunge ambao nusu yao hawakuwepo ukumbini.Mhe Zungu alimtakia kila la heri Mbunge huyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Membe aaga Mambo ya Nje

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe jana aliwaaga wafanyakazi wa wizara hiyo akisema hatafanya kazi tena wizarani hapo katika uongozi wa awamu ya tano.

 

10 years ago

Habarileo

Membe aaga wizarani kwake

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameaga rasmi katika wizara hiyo na kujivunia kuweza kuwarudisha nchini maofisa na mabalozi wote waliostaafu nje ya nchi huku akiahidi kujaza nafasi za walioshika nafasi hizo kabla hajaondoka katika wizara hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Membe aaga wabunge, asema hajui atakuwa na wadhifa gani

Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ameliaga rasmi Bunge na kusema kuwa kama atapata nafasi anayoidhamiria basi ataingia kwa mbwembwe ndani ya ukumbi huo.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aaga rasmi Mahakama leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (alieketi katikati mstari wa juu) akifatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Jaji Mohamed Othman Chande (aliesimama) wakati alipokwenda kuaga Mahakama. Hafla hiyo inafanyika hivi sasa ndani ya Ukumbi wa Mahakama Kuu Jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni baadhi ya majaji pamoja Waziri wa Katiba na Sheria, Mh. Dkt. Asha-Rose Migiro.Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu wakifatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Jaji Mohamed Othman Chande, wakati Rais...

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Amos Makalla AAGA RASMI WIZARA YA MAJI

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makalla leo mchana ameaga rasmi watumishi wa Wizara ya Maji na kwenda kuanza majukumu mapya kama Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mhe. Makalla ambaye alifika Wizarani hapo, akitokea Ikulu alikoapishwa rasmi na Mhe. Rais, Jakaya Mrisho Kikwete, mara baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mhe. Makalla ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Maji kwa zaidi ya mwaka mmoja, aliweza kufanya kazi kwa weledi mkubwa licha kuwa mgeni kwenye Sekta hiyo, ambapo...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi. … ...

 

10 years ago

GPL

CHARLES HILLARY NKWANGA AAGA RASMI BBC, KURUDI AZAM TV

Mtangazaji Charles Hillary (kulia) akiwa na mtangazaji mwanzake wa BBC wakati alipokuwa akiaga rasmi kituoni hapo. Mmoja kati ya wafanya kazi wenzake akionesha jezi iliyoandikwa jina la Nkwanga. Charles Hillary akiwa mtangazaji mwenzake wa BBC Zuhura Yunus katika picha ya pamoja.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani