Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe aaga wabunge, asema hajui atakuwa na wadhifa gani

Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ameliaga rasmi Bunge na kusema kuwa kama atapata nafasi anayoidhamiria basi ataingia kwa mbwembwe ndani ya ukumbi huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Membe aaga Bunge rasmi

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameaga rasmi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kusema hatasimama tena katika Bunge hilo kwa nafasi hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Membe aaga wizarani kwake

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameaga rasmi katika wizara hiyo na kujivunia kuweza kuwarudisha nchini maofisa na mabalozi wote waliostaafu nje ya nchi huku akiahidi kujaza nafasi za walioshika nafasi hizo kabla hajaondoka katika wizara hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Membe aaga Mambo ya Nje

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe jana aliwaaga wafanyakazi wa wizara hiyo akisema hatafanya kazi tena wizarani hapo katika uongozi wa awamu ya tano.

 

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KULITUMIKIA MIAKA 10 JIMBO LA SINGIDA MJINI, MO DEWJI AAGA RASMI, ASEMA HATAGOMBEA TENA

Mbunge wa Singida Mjini kwa tiketi ya CCM, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake ikiwa ni ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena Ubunge jimboni humo wakati wa Mkutano mkubwa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 10 ya kuwatumikia wananchi wa Singida, mkutano uliofanyika katika viwanja vya People's Club. Umati ulifurika. Mkazi wa Singida mjini akimwomba Mbunge wake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MAFAO YA WABUNGE KUFURU… Milioni 160 kwa kazi gani?

INASADIKIWA kama inavyosadifu kutoka kwenye mabaraza ya nchi mbalimbali, kwamba baadhi ya wabunge (wawakilishi wa wananchi) wametawaliwa na ubinafsi, hususan panapokuwa na masilahi yanayowahusu. Imeshuhudiwa nchi jirani ya Kenya, wabunge...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014… WABUNGE GANI KUZIPIGA MWAKA HUU?

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (kushoto) akionyeshana umwamba na staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper katika Tamasha la Matumaini 2013. MWAKA jana wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Halima Mdee (Mbunge wa Kawe), Ester Bulaya (Viti Maalum, Mkoa wa Mara) walizipiga na wasanii wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper na Aunt Ezekiel, swali linalowasumbua akilini mashabiki wa Tamasha la Matumaini ni wabunge gani...

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Membe asema Komba alikuwa shuhuda kwenye mgogoro wa mipaka

Untitled 1

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Capt. John Komba.

 

10 years ago

KwanzaJamii

MEMBE ASEMA, BILA CCM KUWATIA KUFULI PASINGETOSHA URAIS 2015

Uamuzi wa Kamati Kuu ya CCM wa kuwadhibiti kwa mwaka mmoja makada wake sita waliobainika kukiuka kanuni kwa kuanza mapema kampeni za urais, unaweza kuwa uliwakera wengi, lakini si Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, ambaye ni mmoja wa ‘waliofungwa kufuli’. Membe anaona adhabu hiyo ilikuwa mwafaka na kwamba laiti uamuzi huo usingefanywa mapema, “ingekuwa vurugu tupu”. “Sijui nchi hii ingekuwa wapi kama watu wangeachwa bila ya kuwekewa ‘gavana’,” alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani