ZITTO AAGA BUNGE RASMI
HATIMAYE Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amekubali yaishe na kuamua kuaga wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Watanzania, wabunge wenzake na wajumbe wa Kamati wa Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kabla ya kutangaza kuachia ubunge wake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Breaking newzzzz: Mhe Zitto Zuberi Kabwe aaga rasmi Bunge usiku huu dodoma

10 years ago
Habarileo30 May
Membe aaga Bunge rasmi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameaga rasmi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kusema hatasimama tena katika Bunge hilo kwa nafasi hiyo.
10 years ago
Habarileo19 Mar
Zitto kuliaga rasmi Bunge?
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) jana aliteta faragha na Spika wa Bunge, Anne Makinda kushauriana naye kama ajiondoe kwenye ubunge baada ya chama chake kutangaza kumvua uanachama.
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete aaga rasmi Mahakama leo


10 years ago
Michuzi
Mhe. Amos Makalla AAGA RASMI WIZARA YA MAJI
10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO
10 years ago
GPL
CHARLES HILLARY NKWANGA AAGA RASMI BBC, KURUDI AZAM TV
10 years ago
Habarileo07 Oct
Kikwete aaga Kenya kwa kuhutubia Bunge
RAIS Jakaya Kikwete amelihutubia Bunge la Kenya na kuwaaga wananchi wa Kenya huku akisisitiza ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya kwamba utadumu milele. Aidha, amesema anaamini Wakenya watakuwa wamepata fundisho kutokana na machafuko yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka 2007 na hawatarudia tena.