Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumechoka na vitisho hivi

MARA kwa mara watendaji na viongozi wa serikali wamekuwa na tabia ya kutoa vitisho na wakati mwingine kuvifuta na kuvifungia vyombo vya habari. Tabia hii kwa kiasi kikubwa imechangia kukifisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI IGP ERNEST MANGU, NISINGEPUUZIA VITISHO HIVI

Kwako Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu.
Najua una taarifa juu ya kusambaa kwa video inayomuonesha mwanaume mmoja anayedai kuwa ni kiongozi wa kundi la wanaharakati wa kidini, Kais bin Abdullah aliyojirekodi akitoa vitisho vikali kwa jeshi la polisi, waziri mkuu, serikali na waumini wa dini tofauti na yake. Nilishawahi kuzungumza nawe siku za nyuma kwamba mwenendo wa jeshi la polisi, unaonekana kulegalega...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumechoka kuwazungumzia wakazi waishio mabondeni

LEO katika taarifa mbalimbali za vyombo vya habari, zimeeleza taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutahadharisha uwezekano wa kuwapo mvua kubwa zaidi ambazo zinaweza kusababisha mafuriko mengine...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Tumechoka na sinema hii ya wabunge

>Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mhimili mmojawapo kati ya mihimili mitatu ya dola.

 

11 years ago

Mwananchi

Tumechoka, sikio la kufa lisikie dawa sasa

Ukiombwa utoe sababu kwa nini michezo nchini imeshindwa kuleta tija hasa katika eneo la kimataifa, bila shaka kapu kubwa litahitajika ili kujaza sababu hizo kutokana na ukweli kwamba ziko nyingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Tumechoka kweli, sikio la kufa lisikie dawa sasa

Ukiombwa utoe sababu kwa nini michezo nchini imeshindwa kuleta tija hasa katika eneo la kimataifa, bila shaka kapu kubwa litahitajika ili kujaza sababu hizo kutokana na ukweli kwamba ziko nyingi.

 

10 years ago

GPL

‘VIDEO QUEENS’ PICHA ZA UTUPU TUMECHOKA, TAFUTENI WIMBO MWINGINE!

KWENU wauza sura katika video mbalimbali Bongo (video queens), najua mpo wengi lakini pengine labda niwataje wachache ambao mna majina makubwa; Agness Gerald ‘Masogange’, Rehema Fabian, Husna Maulid na Lulu ambaye umeonekana juzikati katika video ya msanii wa Bongo Fleva, Y-Tone, Shitobe. Bila shaka mko poa na mnaendelea na maisha yenu ya kila siku. Mkitaka kujua hali yangu, mimi niko poa, naendelea na maisha yangu...

 

9 years ago

Bongo5

Zari: Diamond ananipenda hivi hivi pamoja na ninyi kuniona bibi!

12357542_428396244023192_1854107619_n

Kuna watu wanaodai kuwa make up ya Zari kwenye video ya Utanipenda! imemharibu na sasa mpenzi huyo wa Diamond amevunja ukimya na kuwajibu.

12357542_428396244023192_1854107619_n

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zari ameandika:

Need I remind some fools that this was a music video a lot of make up going on here and sometimes it just doesn’t do justice on a face, so if age is what is bothering you guess what, he knows there is a lot of young hoes out there but then again he prefers this old ass right here, so suck that up and take...

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi …

Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola jina lake limekuwa likitumika kupamba headlines tofauti tofauti za magazeti ya michezo barani Ulaya na Afrika, hususani juu ya stori za kocha huyo kuhusishwa kutaka kujiunga na Man City ila Chelsea na Man United […]

The post Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani