Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunawatakia wote Heri ya Mwaka Mpya, 2014

Ni Januari Mosi leo, siku  ambayo Watanzania wote wanaungana na walimwengu kote duniani katika kuuanza mwaka mwingine katika kalenda na karne hii ya 21.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAULID NA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda  Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ngomaafricabandjumuika nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

 

9 years ago

Mwananchi

Tunawatakia Watanzania heri ya Krismasi

Haleluya, Bwana amezaliwa! Hiyo, ni salamu mahsusi au maalumu ambayo waumini wa Kikristo kote duniani wanatakiana leo, inapofanyika sikukuu ya Krismasi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuthubutu kutakiana heri ya mwaka 2014?

NIANZE kwa kuwatakia heri na baraka tele kwa mwaka 2014. Naam, heri hizi Kionambali anajua kwamba ni za kiimani zaidi maana ukiangalia mambo kwa macho ya kibinadamu unaweza kucheka hadi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka Ofisi ya Makao Makuu ya Magereza pamoja na Mkoa wa Dar es Salaam wakisikiliza kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunaweza kuufanya mwaka 2014 uwe wa heri

HII ni makala yangu ya kwanza ya Wazo Jepesi kwa mwaka huu. Sikuweza kuandika makala kwa Jumapili zilizotangulia kwa sababu zilizokuwa juu ya uwezo wangu. Kwangu basi hii ni makala...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa heri mwaka 2014 ulionogeshwa na filamu ya Katiba na Escrow

Hatmaye miezi 12 imekamilika leo ikiashiria kumalizika kwa mwaka 2014 utakaokumbukwa na wengi kwa kuwa na matukio motomoto.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2015

Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers wanawatakia wasomaji wetu wote wa mtandao na magazeti yetu heri ya mwaka mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani