Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNDAMAN AMBADILI MASOGANGE

Stori: Andrew Carlos
KIBAO cha Msambinungwa cha mkali wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tundaman’ kimegeuka mwiba kwa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye ameuza sura kupitia video ya wimbo huo, kwa sababu watu mitaani wameacha jina lake halisi na kumwita Msambinungwa. Khalid Ramadhan ‘Tundaman’. Akisebeza na Stori Mix, Tundaman alisema, maana ya jina la kibao chake hicho ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Tundaman: Nipo tayari kuwasaidia vijana wa Manzese

TUNDA MANNA JENNIFER ULLEMBO
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Khalid Ramadhan ‘Tundaman’, ameweka wazi kwamba yupo tayari kutoa msaada kwa vijana wanaoishi maeneo ya Manzese jijini Dar es Salaam.
Akifafanua kauli yake hiyo, alisema anatamani awe daraja la mafanikio kwa vijana hasa waliokata tamaa ya maisha ili awaongoze katika maisha mapya na ya matumaini.
“Nipo tayari kuwasaidia hata katika ushauri hasa vijana waliokata tamaa ya maisha wasisite waje nyumbani hata kama sitakuwepo, watakutana na...

 

10 years ago

Bongo5

Matonya: Tundaman aliniibia hela zangu benki

Matonya na Tundaman wameingia kwenye vita vya maneno. Ugomvi huo umeanza baada ya Tundaman kudai kuwa alimtungia wimbo Matonya kwenye album yake ya Vailet. Akiongea kwenye 255 ya XXL kupitia Clouds FM jana, Matonya alikanusha taarifa hiyo na kwamba Matonya hana uwezo wa kumtungia wimbo kwakuwa uimbaji wao upo tofauti kabisa. “Nilikuwa naenda na Tunda […]

 

10 years ago

CloudsFM

Tundaman,Matonya wamaliza ‘bifu’,kufanya ngoma pamoja.

Lile bifu la wasanii wa Bongo Fleva,Tundaman na Matonya lililodumu kwa muda wa miaka nane limemalizwa leo kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM. Tundaman ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingia kwenye kipindi ambapo leo alikuwa akizungumza na mashabiki wake na kuitambulisha ngoma yake mpya iitwayo ‘Achana na Mimi’ ambapo mtangazaji wa kipindi hicho,Husna Abdul alimuuza kuhusiana na bifu na Matonya alisema hana tatizo naye.
Ndipo Husna alipomuuliza kuwa kama akitokea Matonya kwa muda huo...

 

11 years ago

GPL

TUNDAMAN, SNURA, BONGO MUVI WAFUNIKA KANUMBA DAY

Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan 'Tundaman' akiwapagawisha mashabiki katika Kanumba Day. Snura Mushi 'Mamaa Majanga' akifanya yake stejini usiku huu ndani ya Dar Live.…

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE...

Na  Waandishi Wetu
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa ni Mkongomani, Risasi Jumamosi limedondokewa na ‘kismati’. Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’. Katika mahojiano ‘spesho’ na gazeti hili...

 

10 years ago

GPL

MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI

Stori: Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu,  Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake wakome Video Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’. kwa sababu wanamjengea hisia tofauti...

 

10 years ago

GPL

MCHUMBA: MASOGANGE KANISALITI

STORI: Musa Mateja
MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja makubaliano yao. Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’. Akizungumza na gazeti hili Jumatatu hii, alisema hana tena mpango wa kuoana na Agnes kwani kitendo chake cha kuamua kuhamia Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani