Tuone aibu kwa matukio kama haya
Matukio ya waamuzi wa soka kupigwa wakati wakichezesha mechi Ligi Daraja la Kwanza yanaonekana kukosa tamati. Hivi sasa ni jambao la kawaida mwamuzi kupigwa wakati akiwa kazini
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Kwa nini tuone aibu kuzaa watoto wenye ulemavu?
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Tusipojifunza kwa matukio haya tusubirie shubiri
RAIS wangu wiki iliyopita ilikuwa na matukio mengi lakini leo tuangazie matukio matatu ambayo yalivuta hisia za watu wengi. Ni katika wiki iliyopita Afrika imeondokewa na marais wawili baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Kwa aibu kama hii, mawaziri wabaki ofisini?
SERIKALI ya Tanzania imepata aibu kutokana na kutafunwa kwa sh milioni 644 za nchi sita za wahisani zilizotolewa kugharamia awamu ya pili ya Mpango wa Maboresho ya Serikali za Mitaa...
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Haya ndio matukio 10 ambayo yatateka hisia za watu wengi wa soka kwa mwaka 2016
Tayari tumemalizana na mwaka 2015 na sasa tupo katika mwaka 2016, kila mtu anapanga mipango yake katika huu mwaka kuhakikisha kila kitu chake kinatimia. Wakati watu wakiwa wanapanga mipango yao hiyo, katika soka haya ndio matukio 10 ambayo watu wa soka wanasubiri kuyaona yakitokea kwa mwaka 2016. 1- Tuzo ya mchezaji bora wa Dunia Ballon […]
The post Haya ndio matukio 10 ambayo yatateka hisia za watu wengi wa soka kwa mwaka 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Tuone kweli kama ni nguvu ya soda au nguvu ya jua
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Matukio haya yamekinaisha Watanzania
WATANZANIA tumekinai kuona damu za ndugu zetu zisiyo na hatia zikimwagika. Tumechoshwa kushuhudia mauaji ya kinyama, utekekwaji na uteswaji wa watu na mauaji ya mabomu yanayoendelea na kusababisha vifo. Pamoja...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Mazingira bora kwa walimu tuone vitendo
SERIKALI imetenga sh bilioni 27 kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu, lengo likiwa ni kuboresha mazingira wanayoishi walimu, nia za fedha hizo ni kuhakikisha walimu wanapata mazingira bora. Hayo...
10 years ago
Mwananchi22 Jun
MAONI : Ni aibu michezo kujiendesha kama yatima
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu — Vuai Ally Vuai
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya uwezeshaji wa...