TUWAACHE WABUNGE WATUPE KITU BORA
![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVdxwl3e87W3*rJZy70FD9JmaPSNl-WjjCjQy*k1xvmEM3tjKDx6mW3hvm9pSd5Viz9sP56B3Y-iUXmrEhpef6XD/bunge.jpg)
NINA heshima kubwa kwa Mwenyezi Mungu kwa huruma yake juu yangu, kuweza kuwa pamoja na nyinyi tena leo hii, akinitumia mimi kuwafikishia ujumbe wake wenye upendo na amani. Nimesema mara zote na kamwe sitachoka kuwakumbusha kuwa tupo wazima kama hivi tulivyo kwa sababu ya huruma yake Mungu tu, vinginevyo sisi hatuna tofauti na walio katika wodi za wagonjwa mahututi, waliofariki dunia na wale wenye shida mbalimbali. Baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
CCM wasipoelewa somo hili basi tuwaache
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na ujeuri wake wote wa kushikilia misimamo hata ile isiyokuwa na tija kwa wananchi, lakini kwa somo hili la muundo wa serikali tatu kinapaswa kuelewa....
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Tuwaache wastaafu wakemee, waonye hata kama inaumaÂ
CHAMA Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni kiliwapa onyo kali baadhi ya vigogo wake kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kuanza mapema kampeni za kusaka kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri...
5 years ago
MichuziMBUNGE LIJUALIKALI ASEMA KAMA CHADEMA KIMEMTOA MBALI NA YEYE PIA AMEKITOA MBALI,AANIKA KILA KITU KUHUSU WABUNGE WANAVYOKATWA MISHAHARA YAO KUCHANGIA CHAMA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
MBUNGE wa Jimbo la Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Peter Lijualikali amezidi kuanika namna ambavyo wabunge wa Chama hicho ambavyo wamekuwa wakikatwa fedha zao na kisha kuzuliwa kuhoji matumizi ya fedha na namna zinavyotumika huku akieleza hatishwi na kauli za kwamba Chama kimemtoa mbali kwani hata yeye amekitoa mbali tu.
Siku za karibuni mbunge huyoa ameingia kwenye malumbano na Chama chake baada ya kuamua kubaki na msimamo wake...
5 years ago
Bongo514 Feb
Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora
Waheshimiwa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa nyakati tofauti wameelezea kuridhishwa kwao na utendaji wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora na taasisi zake kwa kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi.
Taarifa iliyotelewa Alhamisi hii na Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora, imeandika kuwa wabunge wameridhishwa na utendaji kazi wa kitengo hicho kama ifuatavyo;
Wabunge wameonyeshwa kuridhishwa huko wakati wakichangia hoja kuhusiana na masuala ya...
10 years ago
Vijimambo12 Aug
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”
![](http://i1.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/polepole.jpg?resize=702%2C702)
HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO
![](http://i2.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/Msigwa.jpg?resize=595%2C300)
11 years ago
GPLYANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s72-c/_MG_5213.jpg)
DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V3NXh4LQFcI/VfMYKjOzTtI/AAAAAAAC-9E/NPLO1xXAxGE/s640/_MG_5242.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s72-c/_MG_5213.jpg)
MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-DKT MAGUFULI
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6tB5GfgHDpE/VfMY1jMfO5I/AAAAAAAC-9s/7u7KRNpoCzQ/s640/_MG_5246.jpg)