Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twanga kuwatambulisha waliotoka Extra Bongo na Malaika,Idd Mosi

Bendi ya African Stars’ Wana Twanga Pepeta, itawatambulisha rasmi wanenguaji wake watatu waliotoka bendi ya Extra Bongo na bendi ya Malaika siku ya Idd Mosi kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni.
Hayo yalisemwa na kiongozi wa bendi hiyo Luizer Mbutu kwnye mazoezi ya bendi hiyo yanaoyendelea kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jana. Mbutu aliwataja wanenguaji hao kuwa ni Maria Soloma, Sabrina Mathew na Isaack Burhani maarufu kwa jina la Danger Boy. Mnenguaji aliyetokea bendi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Twanga kutambulisha wapya Idd Mosi Dar

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ imepanga kutambulisha rasmi wanenguaji wapya watatu waliotokea Extra Bongo na Malaika siku ya onyesho lake  la Idd Mosi katika ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twanga yawaponza wawili Extra Bongo

UONGOZI wa bendi ya Extra Bongo, umewafungashia virago nyota wao wawili; Maria Soloma na Danger Boy kwa utovu wa nidhamu. Nyota hao maarufu kwa kumiliki jukwaa, wamekumbana na rungu hilo baada...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadhamini wakaribishwa kuzipambanisha African Stars ‘Twanga Pepeta’, Extra Bongo

MWISHO wa tambo za nani mkali kati bendi hasimu za muziki wa dansi, African Stars ‘Twanga Pepeta’ na Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa ‘Kimbembe’ zinaweza kumalizwa kwa bendi hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Extra Bongo ‘kuhamia’ Kanda ya Ziwa Idd

MKURUGENZI wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki jana ametoa ratiba ya maonyesho ya bendi yao wakati wa kusherehekea Sikukuu ya Idd. Choki alisema katika onyesho la kwanza siku ya...

 

11 years ago

GPL

EXTRA BONGO KUHAMIA MIKOANI SIKUKUU YA IDD

Ally Choki (wa pili kushoto) akizungumza mbele ya waandishi wa habari.
Msemaji wa kampuni iliyowadhamini ya Machapta, Salehe David akielezea jinsi bendi itakavyokonga nyoyo za mashabiki.…

 

10 years ago

Michuzi

Twanga kuwatambulisha Choki, Nyamwela Da’ West

Bendi ya African Stars maarufu kama Twanga Pepeta Ijumaa Juni 12 itafanya onyesho maalum la kumtambulisha mwanamuziki maarufu nchini Ali Choki na wengine waliorejea kwenye bendi hiyo.
Onyesho hilo litafanyika usiku katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.Mratibu wa onyesho hilo Joseph Kapinga wa Keen Arts na Bob Entertainment amesema kuwa onyesho hilo pia litakuwa ni la vunja jungu kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kapinga alisema pia Choki atatumia onyesho hilo kutambulisha nyimbo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfungo wafuta maonyesho Extra, Twanga Pepeta

KATIKA kuheshimu mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, baadhi ya bendi zimesitisha maonyesho yake zikitumia nafasi hiyo kujipanga zaidi kwa lengo la kuongeza makali yao. Kwa upande wa bendi ya...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WALIVYOKULA BATA IDD MOSI DAR LIVE

Watoto wakionekana wenye furaha, huku wakiendesha baiskeli kwenye ukumbi huo. Watoto wakipanda katika picha ya ndege iliyopo ndani ya ukumbi huo wa burudani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani