Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twanga yawaponza wawili Extra Bongo

UONGOZI wa bendi ya Extra Bongo, umewafungashia virago nyota wao wawili; Maria Soloma na Danger Boy kwa utovu wa nidhamu. Nyota hao maarufu kwa kumiliki jukwaa, wamekumbana na rungu hilo baada...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Twanga kuwatambulisha waliotoka Extra Bongo na Malaika,Idd Mosi

Bendi ya African Stars’ Wana Twanga Pepeta, itawatambulisha rasmi wanenguaji wake watatu waliotoka bendi ya Extra Bongo na bendi ya Malaika siku ya Idd Mosi kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni.
Hayo yalisemwa na kiongozi wa bendi hiyo Luizer Mbutu kwnye mazoezi ya bendi hiyo yanaoyendelea kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jana. Mbutu aliwataja wanenguaji hao kuwa ni Maria Soloma, Sabrina Mathew na Isaack Burhani maarufu kwa jina la Danger Boy. Mnenguaji aliyetokea bendi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadhamini wakaribishwa kuzipambanisha African Stars ‘Twanga Pepeta’, Extra Bongo

MWISHO wa tambo za nani mkali kati bendi hasimu za muziki wa dansi, African Stars ‘Twanga Pepeta’ na Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa ‘Kimbembe’ zinaweza kumalizwa kwa bendi hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfungo wafuta maonyesho Extra, Twanga Pepeta

KATIKA kuheshimu mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, baadhi ya bendi zimesitisha maonyesho yake zikitumia nafasi hiyo kujipanga zaidi kwa lengo la kuongeza makali yao. Kwa upande wa bendi ya...

 

11 years ago

GPL

EXTRA BONGO MZIGONI

Choki akiimba kwa mbwembwe huku amekaa. Mnenguaji wa Extra Bongo, Super Nyamwela akiwa amepozi na mdau wa burudani, John Dotto. Choki na vijana wake wakiwa…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muumini apagawisha Extra Bongo

MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa dansi, Muumini Mwinjuma, aliwapagawisha mashabiki wakati akiimbia bendi ya Extra Bongo katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi. Muumini alikuwa kivutio kikubwa pale alipoimba nyimbo zake...

 

11 years ago

GPL

BANZA AJISALIMISHA EXTRA BONGO

Na Gladness Mallya BAADA ya kuachishwa kazi kutokana na kunywa pombe, mwanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amejisalimisha na kuanza kufanya mazoezi na bendi hiyo kwa mara nyingine. Mwanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Akizungumza na paparazi wetu, mkurugenzi wa bendi hiyo, Ally Choki alisema Banza alijisalimisha hivi karibuni na kuanza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Extra Bongo yapata msiba

MKURUGENZI Msaidizi wa bendi ya Extra bongo, Shuweya Khamis ‘Mama Shushuu’, amefariki dunia jana . Mama Shushuu ambaye pia ni mke wa Mkurugenzi Mkuu wa bendi hiyo Ally Choki amefariki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Minenguo Extra Bongo yapagawisha mashabiki

MASHABIKI wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo Next Level ‘Wazee wa Kizigo’, juzi usiku walibaki midomo wazi baada ya wanenguaji wake wa kiume kucheza staili ya kipekee....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muumini awasubiri Extra Bongo Mwanza

MUIMBAJI nguli wa muziki wa dansi nchini, Mwinjuma Muumini anatarajia kuipokea bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ itakapovamia Kanda ya Ziwa katika Sikukuu ya Idd. Kwa mujibu wa Mkurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani