Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TZ, Kenya lawamani kwa kukwamisha biashara A.Mashariki

 Tanzania na Kenya zinakwamisha kuanza kazi kwa Kituo cha pamoja cha Mpakani (OSBP) cha Holili wilayani Rombo, ambapo ujenzi wake ulikamilika tangu Desemba mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makamo yake Nchini Kenya Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makamo yake Nchini Kenya Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda...

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wa Kenya lawamani baada ya shambulizi la Westgate

Siku yenyewe ya shambulio la Westgate ilikua vurugu tupu vikosi vya usalama vilichukua dakika 90 kuwasili katika eneo hilo

 

9 years ago

Vijimambo

KIZIMBANI KWA KUPELEKA WANAWAKE KENYA KUFANYA BIASHARA YA NGONO

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...

 

9 years ago

Mtanzania

Kizimbani kwa kupeleka wanawake Kenya kufanya biashara ya ngono

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.

Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.

Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...

 

10 years ago

Mwananchi

Uturuki imepania Tanzania iwe lango la biashara A. Mashariki

Nipo katika ubalozi wa Uturuki jijini Dar es Salaam, ambako Baraza la Mambo ya nje ya Uturuki ya Mahusiano ya Kiuchumi (DEiK) inaeleza kuhusu mpango wa nchi hiyo kushirikiana na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na biashara.

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YANG’ARA KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI

Katibu Mkuu wa Wizara ya viwanda na Biashara Uledi Abbas Musa (
Kushoto) akimkabithi kikombe Afisa masoko na biashara wa Airtel ,
Emmanuel Raphael mara baada ya kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel
kuibuka mshindi wa pili  katika maonyesho ya Biashara ya Afrika
Mashariki ya mwaka huu.  Katika maonyesho hayo Airtel ilipata makombe
manne katika vipengele mbalimbali ikiwemo, Mtoa huduma bora , Mtoa
huduma bora katika sekta ya mawasiliano,  ubora katika mawasiliano ya
habari na tecknologia  pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE NA DIWANI CHADEMA WALALAMIKIWA NA WANANCHI KUKWAMISHA MAENDELEO YA JIMBO KWA MIAKA MINNE

Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundishwa na mwalimu Juliana Joseph huku wakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya vyumba vya madarasa ya Shule ya Msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia kuwa fedha zote zitatoka serikalini,imeelezwa na Wananchi wa jimbo hilo kuwa kufuatia na hali hiyo miradi mingi imekwama kwa miaka minne sasa,jambo ambalo limewarudisha nyuma kimaendeleo.  Katibu ...

 

5 years ago

Michuzi

Asilimia 25 ya ushuru kwenye chupa za kioo àutavuruga biashara soko la Afrika Mashariki

Nchi ya Kenya imeweka asilimia 25% ya ushuru wa bidhaa za chupa za kioo (glass bottles) zinazotengezwa na kampuni ya kioo Limited kutoka Tanzania.

Kioo Limited ni kampuni ya kizalendo ambayo imekuwa kwa muda mrefu ikizalisha bidhaa za chupa za kioo na kuuza ndani na nje ya Tanzania.

Kampuni hii imekuwa ikibadili malighafi zinazopatikana hapahapa nchini na kuzigeuza kuwa bidhaa zenye thamani kama ambavyo imekuwa ikisisitizwa na Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli katika hotuba zake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani