Asilimia 25 ya ushuru kwenye chupa za kioo à utavuruga biashara soko la Afrika Mashariki

Nchi ya Kenya imeweka asilimia 25% ya ushuru wa bidhaa za chupa za kioo (glass bottles) zinazotengezwa na kampuni ya kioo Limited kutoka Tanzania.
Kioo Limited ni kampuni ya kizalendo ambayo imekuwa kwa muda mrefu ikizalisha bidhaa za chupa za kioo na kuuza ndani na nje ya Tanzania.
Kampuni hii imekuwa ikibadili malighafi zinazopatikana hapahapa nchini na kuzigeuza kuwa bidhaa zenye thamani kama ambavyo imekuwa ikisisitizwa na Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli katika hotuba zake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA APOKEA UJUMBE KUTOKA SEKRETARIETI YA SOKO LA PAMOJA LA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA COMESA

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Ludovick Nduhiye wakiwa katiza picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Sekretarieti ya COMESA ulioongozwa na Balozi Dr. Kipyego Cheluget.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia miradi kutoka sekretarieti ya (COMESA) Balozi Dr. Kipyego Cheluget.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiongoza kikao...
5 years ago
Michuzi
KAMATI YA BAJETI YAELEZA ILIVYOKUWA IKIWASILISHA MAOMBI KWA SERIKALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KUOMBA KUONDOLEWA USHURU KWENYE CHUPA ZA MVINYO

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Mashimba Ndaki amesema kwa miaka mitano sasa kamati hiyo imekuwa ikiwasilisha maombi serikalini ya kuondoa ushuru wa bidhaa kwa chupa zinazotumika kwa ajili ya kufungashia mvinyo unazalishwa nchini.
Akizungumza leo Juni 15,2020 Bungeni Mjini Dodoma Ndaki amesema kwa sasa chupa zinazoingizwa nchini zinatozwa ushuru wa bidhaa kwa asilimia 25, pamoja na tozo nyingine za serikali na hivyo...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
‘Tuandaliwe kujiunga na soko la Afrika Mashariki’
11 years ago
MichuziWatanzania Wachangamkie Soko la Hisa la Afrika Mashariki
Umetolewa Mwito kwa Watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji kwa ununuzi wa hisa katika soko la hisa la Jumuiya ya Afrika linalotarajiwa...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Manufaa, changamoto za Soko la Pamoja Afrika Mashariki
JULAI Mosi, mwaka 2010 Mataifa ya Afrika Mashariki yalikubaliana kuanzishwa kwa Soko la pamoja la Afrika Mashariki baada ya wakuu wa nchi hizo wanachama; Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi...
10 years ago
GPLMAPINDUZI YA SIMU ZA MKONONI KATIKA SOKO LA AFRIKA YA MASHARIKI
10 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA BRITAM YAONGEZA UWEPO WAKE KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI

Kufutia hatua hiyo Kampuni ya REAL itakuwa na wigo mpana wa kutoa huduma za bima zikiwemo bima za Afya na Bima za maisha ambazo tayari kampuni ya Britam imekuwa ikitoa kwa muda mrefu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Muungano huu utaboresha huduma...
10 years ago
MichuziWARSHA YA UTAARISHAJI MKAKATI ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFANYIKA ZANZIBAR
10 years ago
GPLWARSHA YA UTAYARISHAJI MKAKATI ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFANYIKA ZANZIBAR