MAPINDUZI YA SIMU ZA MKONONI KATIKA SOKO LA AFRIKA YA MASHARIKI
DAR ES SALAAM, Septemba 11, 2015 - Kumiliki simu ya mkononi imekuwa si jambo la starehe kama miaka ya nyuma ilivyokuwa inasadikika. Kadri miaka inavyozidi kwenda kumekuwa na matoleo mapya ya simu za mkononi  na huduma za kipekee zilizo na manufaa kwa jamii.  Meneja mkazi wa JovagoTanzania, Bw.Andrea Guzzoni amefafanua kwamba “kadri matumizi ya simu za kisasa yanavyoongezeka, kunakuwa na huduma tofauti za...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Jul
AFRIKA MASHARIKI: Wateja wa simu za mkononi EAC kupungizwa gharama
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-p5djVPPO6S8/VH2lzb6dj_I/AAAAAAAG0x8/ytOFBXv2XWc/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-12-02%2Bat%2B2.41.44%2BPM.png)
KAMPUNI YA BRITAM YAONGEZA UWEPO WAKE KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI
![](http://3.bp.blogspot.com/-p5djVPPO6S8/VH2lzb6dj_I/AAAAAAAG0x8/ytOFBXv2XWc/s1600/Screen%2BShot%2B2014-12-02%2Bat%2B2.41.44%2BPM.png)
Kufutia hatua hiyo Kampuni ya REAL itakuwa na wigo mpana wa kutoa huduma za bima zikiwemo bima za Afya na Bima za maisha ambazo tayari kampuni ya Britam imekuwa ikitoa kwa muda mrefu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Muungano huu utaboresha huduma...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RWDcsu5uhgo/U-iJ_A6yDOI/AAAAAAAF-YM/g-wUzHUk22s/s72-c/unnamed1.jpg)
KAMPENI YA BAVARIA YA MBIO ZA KUELEKEA JUU YATARAJIWA KULETA CHANGAMOTO KUBWA ENEO LA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA SOKO LA VINYWAJI
10 years ago
Mwananchi30 Dec
‘Tuandaliwe kujiunga na soko la Afrika Mashariki’
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Manufaa, changamoto za Soko la Pamoja Afrika Mashariki
JULAI Mosi, mwaka 2010 Mataifa ya Afrika Mashariki yalikubaliana kuanzishwa kwa Soko la pamoja la Afrika Mashariki baada ya wakuu wa nchi hizo wanachama; Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi...
11 years ago
MichuziWatanzania Wachangamkie Soko la Hisa la Afrika Mashariki
Umetolewa Mwito kwa Watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji kwa ununuzi wa hisa katika soko la hisa la Jumuiya ya Afrika linalotarajiwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-svKbTDuk1pk/U2dMpi1cn1I/AAAAAAAFflY/k7YvchvA_5M/s72-c/unnamed+(1).png)
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Tanzania yashika nafasi ya pili katika malipo kupitia simu za mkononi
Kumiliki simu ya mkononi imekuwa si jambo la starehe kama miaka ya nyuma ilivyokuwa inasadikika. Kadri miaka inavyozidi kwenda kumekuwa na matoleo mapya ya simu za mkononi na huduma za kipekee zilizo na manufaa kwa jamii.
Meneja mkazi wa JovagoTanzania, Bw.Andrea Guzzoni amefafanua kwamba “kadri matumizi ya simu za kisasa yanavyoongezeka, kunakuwa na huduma tofauti za malipo kupitia simu za mkononi (Online payments), malipo haya yameongezeka kwa kasi kubwa kupitia Mpesa, Tigopesa, Airtel...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MVYtXkytBHk/XtntNrVgnfI/AAAAAAALsq0/WFA1f5TgSPYvB4VoJVW-_gyxbRiLpSSvgCLcBGAsYHQ/s72-c/10587244-glass-bottles-prepared-for-recycling.jpg)
Asilimia 25 ya ushuru kwenye chupa za kioo à utavuruga biashara soko la Afrika Mashariki
![](https://1.bp.blogspot.com/-MVYtXkytBHk/XtntNrVgnfI/AAAAAAALsq0/WFA1f5TgSPYvB4VoJVW-_gyxbRiLpSSvgCLcBGAsYHQ/s400/10587244-glass-bottles-prepared-for-recycling.jpg)
Kioo Limited ni kampuni ya kizalendo ambayo imekuwa kwa muda mrefu ikizalisha bidhaa za chupa za kioo na kuuza ndani na nje ya Tanzania.
Kampuni hii imekuwa ikibadili malighafi zinazopatikana hapahapa nchini na kuzigeuza kuwa bidhaa zenye thamani kama ambavyo imekuwa ikisisitizwa na Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli katika hotuba zake...