Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPENI YA BAVARIA YA MBIO ZA KUELEKEA JUU YATARAJIWA KULETA CHANGAMOTO KUBWA ENEO LA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA SOKO LA VINYWAJI

Wakati uchumi wa Tanzania ukiendelea kukua siku hadi siku, ongezeko la wananchi wenye kipato cha kati nalo limezidi kukua, na hivyo kuleta changamoto mpya katika masoko ya bidhaa mbalimbali hapa Waagizaji wa kinywaji Kutoka Uholanzi cha Bavaria eneo la Afrika ya Mashariki, Jovet (Tanzania) Limited wamedhamiria kuleta changamoto hiyo baada ya kuzindua kampeni rasmi ya mbio za kuelekea kileleni, na hivyo kuongeza wigo wake katika soko hili la Afrika ya Mashariki, ambalo limekua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Manufaa, changamoto za Soko la Pamoja Afrika Mashariki

JULAI Mosi, mwaka 2010 Mataifa ya Afrika Mashariki  yalikubaliana kuanzishwa kwa Soko la pamoja la Afrika Mashariki  baada ya wakuu wa nchi hizo wanachama; Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi...

 

9 years ago

GPL

MAPINDUZI YA SIMU ZA MKONONI KATIKA SOKO LA AFRIKA YA MASHARIKI

DAR ES SALAAM, Septemba 11, 2015 - Kumiliki simu ya mkononi imekuwa si jambo la starehe kama miaka ya nyuma ilivyokuwa inasadikika. Kadri miaka inavyozidi kwenda kumekuwa na matoleo mapya ya simu za mkononi  na huduma za kipekee  zilizo na manufaa kwa jamii.  Meneja mkazi wa JovagoTanzania, Bw.Andrea Guzzoni amefafanua kwamba “kadri matumizi ya simu za kisasa yanavyoongezeka, kunakuwa na huduma tofauti za...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BRITAM YAONGEZA UWEPO WAKE KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI

Kampuni ya Bima ya REAL Tanzania sasa imekuwa ni moja kati ya makampuni makubwa  rasmi chini ya Kampuni ya Britam ambayo inatoa huduma mbalimbali za kifedha. Hii inafuatia kununuliwa wa Kampuni hiyo ya Bima na Kampuni ya Britam kutoka Kenya. 
Kufutia hatua hiyo Kampuni ya REAL itakuwa na wigo mpana wa kutoa huduma za bima zikiwemo bima za Afya na Bima za maisha  ambazo tayari kampuni ya Britam imekuwa ikitoa kwa muda mrefu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Muungano huu utaboresha huduma...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua zatarajiwa kuleta neema ya mavuno kwa nchi za Afrika Mashariki

Uzalishaji wa chakula Ukanda wa Nchi za Afrika Mashariki, unatarajiwa kuongezeka msimu wa kilimo wa 2014/2015, hivyo kupunguza soko la mazao ya chakula yanayozalishwa nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tuandaliwe kujiunga na soko la Afrika Mashariki’

Wakulima wa mpunga katika Kata ya Igurusi wilayani Mbarali wameiomba Serikali iwapatie elimu ya kilimo chenye tija ili kuzalisha mazao bora kabla ya kuingia katika Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) linaloundwa na nchi za Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda na Burundi.

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Wachangamkie Soko la Hisa la Afrika Mashariki

Meneja wa Hisa wa Benki ya CRDB Makao Makuu, Emanuel Ng'ui, akizungumza na wenye hisa wa CRDB Bank, katika semina ya uhamasishaji kuhusu matumizi ya Hisa. Mkurugenzi wa CRDB Bank, PLC, Tawi la Lumumba, John Almasy, akizungumza na Meneja wa Hisa wa Benki ya CRDB Makao Makuu, na Mkurugenzi wa CRDB, Tawi la Vijana, Pelesi Fungo, wakati wa semina hiyo.
Umetolewa Mwito kwa Watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji kwa ununuzi wa hisa katika soko la hisa la Jumuiya ya Afrika linalotarajiwa...

 

9 years ago

Michuzi

UDHAIFU WA USIMAMIZI WA MIRADI MBALIMBALI NI CHANGAMOTO KATIKA KULETA KASI YA MAENDELEO NDANI YA JAMII

Tanzania ya leo, imepitia mabadiliko mengi yanayogusa kila sekta tangu ilipojikomboa na kuwa nchi huru baada miaka 53 ya utawala wa kikoloni. Kwa mfano, katika kipindi hicho hadi sasa, nchi imeshuhudia kuimarika kwa huduma mbalimbali za kijamii. Kwa uchache, huduma hizi ni pamoja na afya, elimu, demokrasia, utalii, viwanda na miundombinu mbalimbali. 
 Katika sekta ya elimu, ongezeko kubwa la shule kuanzia ngazi ya awali hadi chuo kikuu limeshuhudiwa. Hii ni moja ya hatua kubwa kuwahi kufikiwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania kujenga bandari kubwa zaidi Afrika Mashariki

Tanzania imeanzisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo inayopangiwa kuwa bandari kubwa zaidi Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Mwananchi

Sauti za Busara 2014: Tamasha kubwa Afrika lenye changamoto lukuki

>Unapozungumzia tamasha la Sauti za Busara, unazungumzia tamasha la Bara la Afrika na dunia nzima. Maana yake ni tamasha linalokusanya maelfu ya wageni wanaolishuhudia kila mwaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani