AIRTEL YANG’ARA KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI
![](http://2.bp.blogspot.com/-2Ybi2KayuGQ/Ve_cdk7OIHI/AAAAAAAH3eY/TVFhAu5GYdc/s72-c/Pic%2B1%2Bmwanza.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya viwanda na Biashara Uledi Abbas Musa (
Kushoto) akimkabithi kikombe Afisa masoko na biashara wa Airtel ,
Emmanuel Raphael mara baada ya kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel
kuibuka mshindi wa pili katika maonyesho ya Biashara ya Afrika
Mashariki ya mwaka huu. Katika maonyesho hayo Airtel ilipata makombe
manne katika vipengele mbalimbali ikiwemo, Mtoa huduma bora , Mtoa
huduma bora katika sekta ya mawasiliano, ubora katika mawasiliano ya
habari na tecknologia pamoja na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
IPTL yang’ara Afrika Mashariki
-Sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya
-Kafulila aumbuka
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika kusambaza nishati ya umeme.
Hatua hiyo inasababishwa na serikali ya Kenya kuipatia barua kampuni hiyo ya kufanya nao kazi ya usambazaji umeme katika mradi unaohusisha nchi mbili za jumuia hiyo, ambazo ni Tanzania na Kenya.
Barua ya Kenya...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tEJoC3S2nPw/U7J-D5-n5SI/AAAAAAABBgA/oanR2ayhuSQ/s72-c/1.jpg)
NSSF YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 38 YA KIMATAIFA YA BIASHARA ‘SABASABA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tEJoC3S2nPw/U7J-D5-n5SI/AAAAAAABBgA/oanR2ayhuSQ/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-DO4OSSt4y7o/U7J-GZCVUbI/AAAAAAABBgo/Ylq5s7sJo20/s1600/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqnIO6flexk/U7J-Gjl5SyI/AAAAAAABBgs/3abbaRnW458/s1600/3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uYtPYEoTz6k/VDHLn6wMiLI/AAAAAAAGoMI/37lY6bTDcTg/s72-c/Laveda_med.jpg)
Tanzania yang'ara katika siku ya kwanza ya big brother afrika
![](http://1.bp.blogspot.com/-uYtPYEoTz6k/VDHLn6wMiLI/AAAAAAAGoMI/37lY6bTDcTg/s1600/Laveda_med.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cTOdDCTLuXQ/VDHLpaMpelI/AAAAAAAGoMQ/jX0MvvTBSxg/s1600/LavedaSAx_med.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVI-xguw0PfoRtFDuV2--nZiOfelCpiLJ9kcE9ZFmz3FaYVls7NcNTecGHFhW733549BNhKGzN7nv3OuNXC818jO/1.jpg?width=650)
TANZANIA YANG'ARA KATIKA SIKU YA KWANZA YA BIG BROTHER AFRIKA
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Modewjiblog yang’ara maonyesho ya Sabasaba huku ikitimiza miaka 7
Pichani juu na chini ni Meneja Mwendeshaji wa tovuti ya Modewjiblog, Zainul Mzige akiwapa ufafanuzi wadau waliotembelea banda la tovuti hiyo lililopo MeTL Pavillion katika maonyesho ya kimataifa ya kibiashara ya Sabasaba yanayoendelea katika kiwanja cha Mwl. Julius Nyerere barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Bw. Zainul pia ametumia fursa hiyo kutaja umri wa tovuti hiyo ambapo amesema sasa inatimiza miaka saba(7) tangu ilipoanzishwa na kuwa inatarajia kuadhimisha “birthday”itakapofika...
11 years ago
GPLAIRTEL DIVAS YATEMBELEA KIKUNDI CHA SAUTI YA WALEMAVU KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA YA SABASABA
10 years ago
VijimamboTanzania yawa kivutio katika Maonyesho ya Afrika Mashariki yanayofanyika Nairobi Nchini Kenya
10 years ago
Habarileo18 Aug
Dar yang’ara katika BRN
BAADA ya kuongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), kwa shule zake kusimamia na kutoa mitihani ya utamilifu (mock) kwa manispaa zote tatu.
11 years ago
Habarileo10 Mar
Tanzania yang’ara katika utawala bora
MPANGO wa Afrika wa kujitathmini kiutawala bora (APRM) umebainisha kuwa Tanzania ni moja ya nchi zinazofanya vizuri katika utawala bora.