Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Modewjiblog yang’ara maonyesho ya Sabasaba huku ikitimiza miaka 7

IMG_6930

Pichani juu na chini ni Meneja Mwendeshaji wa tovuti ya Modewjiblog, Zainul Mzige akiwapa ufafanuzi wadau waliotembelea banda la tovuti hiyo lililopo MeTL Pavillion katika maonyesho ya kimataifa ya kibiashara ya Sabasaba yanayoendelea katika kiwanja cha Mwl. Julius Nyerere barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

Bw. Zainul pia ametumia fursa hiyo kutaja umri wa tovuti hiyo ambapo amesema sasa inatimiza miaka saba(7) tangu ilipoanzishwa na kuwa inatarajia kuadhimisha “birthday”itakapofika...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA yang’aa Maonyesho ya Sabasaba

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imeibuka na ushindi mnono baada ya kupata vikombe viwili kwenye Maonyesho ya 38 Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea jijni Dar es Salaam....

 

10 years ago

Dewji Blog

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania atembelea banda la Modewjiblog maonyesho ya Sabasaba leo

IMG_6278

Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akisalimiana na Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale alipotembelea katika banda la mtandao huo ambao mwaka huu mwezi Septemba unatimiza miaka 7 tangu kuanzishwa ambapo wametumia fursa ya maonyesho ya saba saba kukutana na wadau mbalimbali wanaotumia mtandao huo kupata habari mbalimbali sambamba na kubadilishana mawazo na ushauri wa maboresho...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 38 YA KIMATAIFA YA BIASHARA ‘SABASABA

Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mrs Eunice Chiume (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa uhusiano wa shirika hilo katika maonyesho ya Sabasaba  yanayoendelea katika viwanja ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Meneja Kiongozi, Uhusiano na huduma kwa wateja Mrs Eunice Chiume wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii akifafanua jambo kuhusu Bima ya Afya kwa mwanachama alietembelea Banda hilo katika...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA

Mmoja wa wakina mama kutoka Kikundi cha Wachimbaji Madini Wanawake Tanzania, (Tanzania Women Mining Association) Shamsha Diwani (katikati) akitoa maoni yake mara baada ya kutembelea banda la Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi Nchini ( TANSORT) kwenye maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Mtaalam kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi Nchini ( TANSORT) Dorcus Moshi (katikati) akiwaelimisha watoto...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YANG’ARA KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI

Katibu Mkuu wa Wizara ya viwanda na Biashara Uledi Abbas Musa (
Kushoto) akimkabithi kikombe Afisa masoko na biashara wa Airtel ,
Emmanuel Raphael mara baada ya kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel
kuibuka mshindi wa pili  katika maonyesho ya Biashara ya Afrika
Mashariki ya mwaka huu.  Katika maonyesho hayo Airtel ilipata makombe
manne katika vipengele mbalimbali ikiwemo, Mtoa huduma bora , Mtoa
huduma bora katika sekta ya mawasiliano,  ubora katika mawasiliano ya
habari na tecknologia  pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LANG'ARA MAONYESHO YA 39 YA SABASABA

Afisa Mwandamizi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Salvatory Hinju akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa Tuntufye Mwambusi akizungumza na mmoja wa wateja wa Shirika la Nyumba alipofika kwenye banda...

 

5 years ago

Michuzi

Manispaa ya Sumbawanga yang’ara kimapato huku wakipata hati safi kwa miaka mitatu

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kung’aa kwa kuvuka malengo ya makusanyo ya mapato katika kipindi cha miaka miwli mfululizo huku ikiendelea kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo hali inayapopelekea halmashauri hiyo kupata fursa ya mikopo kwaajili ya miradi maalum ya kimkakati kwaajili ya kuongeza mapato ya halmashauri.

Wakati akitoa salamu zake katika kikao cha Baraza la Madiwani la Manispaa hiyo kuhusu utekelezaji wa hoja za ukaguzi na mapendekezo ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

MODEWJIBLOG: Watanzania tuache kufanya kazi kwa Mazoea, Rais Dk.Magufuli tembelea na huku!

mg1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alipotembelea kwa mara ya kwanza Wizara ya Fedha, safari ambayo ilikuwa ni ya ghafla.

Na. Andrew Chale, Modewjiblog

[TANZANIA] Kwa sasa kila zungumzo la Mtanzania ni juu ya safari za kushtukiza za Rais wa awamu ya tano, Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli ambaye ameacha gumzo kwa kuanza kwa kishindo na dhana yake ya ‘Hapa Kazi Tu’!.. Kwa kutuonjesha tu,  ametembelea Wizara ya Fedha safari ya kushtukiza na kuamsha hali ya utendaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yang’ara mpango wa UN

TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani