Ubakaji :Makala ya BBC yazuiwa India
Makala ya BBC iliyoandaliwa na Leslee Udwin imezuiwa kuruka nchini India, ikihofiwa kuleta uchochezi nchini India
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
3 wahukumiwa kifo kwa ubakaji India
Wanaume watatu wamehukumiwa kifo Mjini Mumbai, India baada ya kupatikana na hatia katika visa tofauti vya ubakaji
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Ubakaji:India inamchunguza raia wa Saudi A
Mfanyikazi wa ubalozi wa Saudi Arabia anadaiwa aliwabaka wafanyikazi wawili wa nyumbani raia wa Nepal
11 years ago
BBCSwahili30 May
India:Ghadhabu kwa ubakaji wa wasichana
Watu nchini India wamekerwa na kitendo cha polisi kumbagua babake mmoja wa wasichana waliobakwa na kuuawa kwa sababu ya tabaka lake.
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
India :Utafiti wafutilia mbali Ubakaji
Utafiti mpya uliofanyika kwa nguo za Wasichana 2 wahasiriwa wa mauaji India wafutilia mbali dhana ya Ubakaji
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
Matamshi kuhusu ubakaji yakera India
Matamshi ya mwanasiasa mmoja mwanamke nchini India kuwa wanawake huchangia kwa wao wenyewe kubakwa yamelaaniwa vikali
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Polisi wapigwa kalamu kwa ubakaji India
Waziri mkuu wa jimbo kubwa zaidi nchini India la Uttar Pradesh amewafuta kazi polisi wawili kwa kumteka na kumbaka msichana
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Tume ya Rwanda kuchunguza makala ya BBC
Serikali ya Rwanda imeunda Tume kutathimini makala ya BBC iliyorushwa kwa njia ya Televisheni kuhusu mauaji ya kimbari
5 years ago
BBCSwahili20 Mar
Wanaume wanne walioshtakiwa kwa ubakaji na mauaji wanyongwa nchini India
Wanaume wanne raia wa India wameuawa kwa kunyogwa nchini humo baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na mauaji ya kinyama kwenye basi huko Delhi mwaka wa 2012
10 years ago
BBCSwahili11 Apr
Wazozania 'BBC' India
Kampuni mbili za kuuza chakula katika mji wa India wa Mumbai zimeenda mahakamani kupigania utumizi wa jina BBC kwa ufupi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania